bado hajakufika
ndende te kyaa!!
Ewe kuwaangoo shansarie?? kwani kuukye taari ta nshirony??
enyi shiwaangoo, Shisarielyi kyekuye akwa nyoukye taari ta Nshirony.
ndende te kyaa!!
Ewe kuwaangoo shansarie?? kwani kuukye taari ta nshirony??
enyi shiwaangoo, Shisarielyi kyekuye akwa nyoukye taari ta Nshirony.
haya kyaa! shakwiindya kyaa!!!shansarie ni mamy akwa,mimi wa lyamungo
Habari zenu wanajamvi naomba kufahamishwa sifa za wanawake wa kimachame MAZURI YAO NA MABAYA YAO asanteni naomba kuwasilisha.
kumbe neewe mbwa mashami??
neantwa kyaaa/mbe! Prisoner 6446
Kaoe usukumani kwenu bana usiteletee uchuro na dada zetu...!!!!
Walianza na wachagga sasa wamechoka wamehamia kwa wamachame. Muda si mrefu watahamia kwa wakibosho, wamarangu, warombo et el.
Mwisho wa siku watasema mchana usiku watalala. Watu wanachapa kazi wanasonga mbele kiroho safeey.

haya kyaa!Eembe mi mshami wa sonuu
Mkuu wote hao ni wachaga, machame, kibosho, uru, mwika, marangu, Rombo, kilema ni uchagani, wanayosema ni ukweli, yamemkuta kaka yangu mwaka Jana, kidogo arrest in peace sema juhudi za ndugu kumtonya angekuwa mavumbi leo. Hilo kabila acha tu waoane wenyewe. Nakumbuka nikiwa shule watu wa uru walikuwa wanasema ni marufuku muuru kujenga nyumba inatazama Machame kwako ni mkosiWalianza na wachagga sasa wamechoka wamehamia kwa wamachame. Muda si mrefu watahamia kwa wakibosho, wamarangu, warombo et el.
Mwisho wa siku watasema mchana usiku watalala. Watu wanachapa kazi wanasonga mbele kiroho safeey.
haya kyaa!
luzidi ikwananya kunu!
haya kyaa!
luzidi ikwananya kunu!
Hujakosea kwenye suala la pesa hawana mchezo. Walio maofisini ni balaa kwa uchoyo, ujanja na ufitinishi ili mradi tu wapate maslahi yao "pesa"Wabinafsi, wachoyo, wachapa kazi, wajanja sana, kwenye suala la pesa hawana mchezo, wanauza bidhaa sokoni chini ya vigunia vyao kuna mapanga na visu ni wapiganaji wazuri wanapochokozwa hasa na vibaka.