bado hajakufika
dizzo sikia mkuu wangu. Siamini tabia ya mtu necessarily inatokana na kabila. Nilichosema ni kuwa mimi nina upendeleo wa wasichana/wanawake wa ki-chagga kutokana na features zao ambazo hunipendeza mimi na vile vile tabia za baadhi yao niliokuwa nao. Haina maana wote wako hivyo. Kuna mmoja ambaye alinisaliti ambaye pia ni mchagga. Lakini haina maana wengine wote walikuwa si wazuri wa tabia, sura na maumbo kwangu kwa vigezo vyangu. Ninachokataa ni hii akili ya ku-label all machame women as gold-digging hubby slayers. Si kweli. Tamaa na hulka ya ubinafsi wanayo wanawake wa makabila yote na rangi zote. Mimi m-machame wangu alikuwa mpole tu dada wa watu katulia mpaka kaolewa bado nampenda nashikwa na donge ila ndio hivyo nilishaharibu nilipopata nafasi.