Mkuu wote hao ni wachaga, machame, kibosho, uru, mwika, marangu, Rombo, kilema ni uchagani, wanayosema ni ukweli, yamemkuta kaka yangu mwaka Jana, kidogo arrest in peace sema juhudi za ndugu kumtonya angekuwa mavumbi leo. Hilo kabila acha tu waoane wenyewe. Nakumbuka nikiwa shule watu wa uru walikuwa wanasema ni marufuku muuru kujenga nyumba inatazama Machame kwako ni mkosi
Hahahahaah wewe bana ufundi mchundo umekuharibu sana.........Ni kweli kabisa. Mie Binamu yangu alimfilisi Mchaga hadi ndugu zake wakamuua huko Morogoro. Jamaa alikuwa kila akipata ni kuleta SIKONGE. Mie mwenyewe niko mbioni kupeleka Pesa nyumbani kwao Smile. Sijali sana kama ntakufa kwani hata hivyo kweli siku moja ntakufa.
Ila kabla ya HARUSI, Mali zote zinagawanywa kiasi kwamba nikifa, basi Mke hapati NUSU YANGU, Samahani Smile.
Utakuwa unazungumzia yule ambaye muuwaji mmoja kati ya waliokodishwa aliyemtonya mshikajiHawa wakioana wenyewe kwa wenyewe lazima mwanaume ufanywe 'Bushoke' lakini wakiolewa na wanaume kutoka sehemu nyingine na ukiwa na hela lazima akumalize! Si mmesiki yule wa Arusha aliyetaka kummaliza yule mhaya? Kiboko wa wanawake wa kimachame ni jamaa wa KIbosho tu!
Sio
Safi sanaKama wewe c mchaga wamachame haujashikiw mtutu wa bunduk kumuoa mwanamke... Na kwa taarifa yako sasa sisi wachagga..2nawezana wenyewe..2naoana wenyew...kama vip unaweza kutafuta kwenye makabila mengne meengi humu Nchn....!!
hahahaaaaah, sio mwana wa Adamu bhana bali mwana wa IBILISI ndani ya mmachameeesiku ya ndo yako nunua jeneza liweke ndani kabisa, na usisahau kuandika urithi kwa watoto. maana hujui siku wala saa atakayokuja mwana wa daudi
Mimi jirani yangu.Una lingineWangekuwa basi wanatoa na ushahidi......kwamba kuna fulani alioa mmachame akauwawa........wote hao wanaosema hivyo ni kusikia tu.......wanaume wajanja huoa uchagani bana.......na hakunaga mchaga f.a.l.a......