Sifa za mwanamke wa kimachame

Sifa za mwanamke wa kimachame

Status
Not open for further replies.
Kiongozi let me declare that I have a thing for chagga girls. Huwa nahama tu mara binti kutoka machame, mara marangu, mara mwika, mara uru lakini sichezi mbali. Ukweli ni kuwa nawakubali sana wasichana/wanawake wa ki-chagga. Ni wazuri na pia focused on life. In short they r cute and their brains are ready, mind steady.
 
Ama kweli mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.
Haya nyie endeleeni tu ila sisi tumetulia tuli na waume zetu na maisha ni bomba.

Wangekuwa basi wanatoa na ushahidi......kwamba kuna fulani alioa mmachame akauwawa........wote hao wanaosema hivyo ni kusikia tu.......wanaume wajanja huoa uchagani bana.......na hakunaga mchaga f.a.l.a......
 
teh teh,kweli kipenda roho hula nyama mbichi...
 
Wangekuwa basi wanatoa na ushahidi......kwamba kuna fulani alioa mmachame akauwawa........wote hao wanaosema hivyo ni kusikia tu.......wanaume wajanja huoa uchagani bana.......na hakunaga mchaga f.a.l.a......

Ni kweli hayo yote kama wauaji hayana ushahidi lkn NINA USHAHIDI kuwa kitandani HUWA WANA PACK GARI;wala hatingishiki baba ukiwa unakamua!

Nilikuwa nao 4 chuo kwa miaka tofauti wote wapo hivyo hivyo!
 
Ama kweli mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe.
Haya nyie endeleeni tu ila sisi tumetulia tuli na waume zetu na maisha ni bomba.

hahahaaa...... Kumbe wewe ni wifi yangu!!!! Ngoja nisitie neno hapa ila kaka zenu wanajua kucare!!!!!!
 
Wangekuwa basi wanatoa na ushahidi......kwamba kuna fulani alioa mmachame akauwawa........wote hao wanaosema hivyo ni kusikia tu.......wanaume wajanja huoa uchagani bana.......na hakunaga mchaga f.a.l.a......

mi nina ushahidi wew ucdhan twajisemea tu ilimradi liende,nipo na mifano halisi,nina rafiki yangu kamkimbia mkewe baada ya kuona balaa la kupoteza uhai linamkaribia,na hiyo imetokea 2011 mwez wa kumi pale ambapo wameshachuma vya kutosha na wana watoto wawili,alichofany bwana yule alimwambia mwanamke achukue tu vitu vyote,na kweli mwanamke alikuja na kaka yake wakasafisha nyumba hawakumwachia hata mkeka,jamaa kaanza uuupya,siongopi mi nimekulia moshi naelewa which is which pia mkibosho revenge,mmarangu co kabisa,ukitaka kaoe rombo,uru aaah utaenjoy
 
sorry wadad wa kimachame kwa kusema ukwel ila nyie mmh mmh co kabisa,mnang'ata hampulizi hasa,huyo alosema

Ama kweli mti wenye matunda
ndio unaopigwa mawe.
Haya nyie endeleeni tu ila sisi
tumetulia tuli na waume zetu na
maisha ni bomba.

huyo mmeo hamjachuma bado,na najua unachosubiri,sorry
 
Kaoe usukumani kwenu bana usiteletee uchuro na dada zetu...!!!!
 
Kaoe usukumani kwenu bana usiteletee uchuro na dada zetu...!!!!

Walianza na wachagga sasa wamechoka wamehamia kwa wamachame. Muda si mrefu watahamia kwa wakibosho, wamarangu, warombo et el.

Mwisho wa siku watasema mchana usiku watalala. Watu wanachapa kazi wanasonga mbele kiroho safeey.
 
Hawa wakioana wenyewe kwa wenyewe lazima mwanaume ufanywe 'Bushoke' lakini wakiolewa na wanaume kutoka sehemu nyingine na ukiwa na hela lazima akumalize! Si mmesiki yule wa Arusha aliyetaka kummaliza yule mhaya? Kiboko wa wanawake wa kimachame ni jamaa wa KIbosho tu!

Sio
 
Kama wewe c mchaga wamachame haujashikiw mtutu wa bunduk kumuoa mwanamke... Na kwa taarifa yako sasa sisi wachagga..2nawezana wenyewe..2naoana wenyew...kama vip unaweza kutafuta kwenye makabila mengne meengi humu Nchn....!!
 
Kaoe usukumani kwenu bana usiteletee uchuro na dada zetu...!!!!

hahahaaa....... Mentor acha kufura banaa, dada zenu wakorofi ati tena wakiona kaka yao mambo safi wanatamani asioe ili uchumi usipotee!!!!!! Maana wanahisi bingo itahamia ukweni.
 
Last edited by a moderator:
uuuuuuuuwiiiiii nilitaka kujikaanga kwa mafuta yangu mwenyewe no siwezi nimeahilisha nasema sitaki tena

Ndugu ukisikiza sana maneno ya watu utajikuta unakosa mke na bahati mbaya huo ushauri uliousikiza ni kutoka kwa watu usiowafahamu....
Kitu kimoja na cha muhimu sana unapotafuta mchumba, jaribu sana kutafuta mwanamke mcha Mungu...kabila ni kitu cha ziada tu.
Ni ukweli kuwa ipo au zipo roho 'tabia rithishi' zitembeazo na makabila lakini si sheria kwamba kila mtu wa kabila fulani atakuwa hivyo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom