Wamachame wana mazuri mengi kuliko mabaya yao
1. Wacha DINI (hasa KKKT na ulokole)
2. Wapenda ELIMU (tofauti na ndugu zetu wa-Bagamoyo, Kibiti na Ruangwa- Tanga, Pwani Lindi & Mtwara)
3. Wasakaji noti
4. Wazuri wa SURA na SHEPU (si kama Wachaga wengine toka KIBOSHO, URU, MARANGU na ROMBO).
UBAYA;
Ni wakali wa kugomba kila wakati