sorry wadad wa kimachame kwa kusema ukwel ila nyie mmh mmh co kabisa,mnang'ata hampulizi hasa,huyo alosema
Ama kweli mti wenye matunda
ndio unaopigwa mawe.
Haya nyie endeleeni tu ila sisi
tumetulia tuli na waume zetu na
maisha ni bomba.
huyo mmeo hamjachuma bado,na najua unachosubiri,sorry
watamu ajabu...
Walianza na wachagga sasa wamechoka wamehamia kwa wamachame. Muda si mrefu watahamia kwa wakibosho, wamarangu, warombo et el.
Mwisho wa siku watasema mchana usiku watalala. Watu wanachapa kazi wanasonga mbele kiroho safeey.
hahahaaa....... Mentor acha kufura banaa, dada zenu wakorofi ati tena wakiona kaka yao mambo safi wanatamani asioe ili uchumi usipotee!!!!!! Maana wanahisi bingo itahamia ukweni.
Waiii..mbona sisi tunawapenda dada zao wa kisukuma bila kuuliza uliza...wanaonesha dalili za inferiority complex tu! sijawahi msikia mchaga akiuliza hivi wanawake wa kimakonde wakoje? wakurya je? ni huku kwetu tu... cha! lulekeny.
Hao ni mawifi zako tu aisee...achika uje kwangu uone dada zangu walivyo na upendo!!!
Hawa wakioana wenyewe kwa wenyewe lazima mwanaume ufanywe 'Bushoke' lakini wakiolewa na wanaume kutoka sehemu nyingine na ukiwa na hela lazima akumalize! Si mmesiki yule wa Arusha aliyetaka kummaliza yule mhaya? Kiboko wa wanawake wa kimachame ni jamaa wa KIbosho tu!
Sio
Kiongozi let me declare that I have a thing for chagga girls. Huwa nahama tu mara binti kutoka machame, mara marangu, mara mwika, mara uru lakini sichezi mbali. Ukweli ni kuwa nawakubali sana wasichana/wanawake wa ki-chagga. Ni wazuri na pia focused on life. In short they r cute and their brains are ready, mind steady.
sasa kama wako na brains ready,mind steady mbona unawabadilibadili
sorry wadad wa kimachame kwa kusema ukwel ila nyie mmh mmh co kabisa,mnang'ata hampulizi hasa,huyo alosema
Ama kweli mti wenye matunda
ndio unaopigwa mawe.
Haya nyie endeleeni tu ila sisi
tumetulia tuli na waume zetu na
maisha ni bomba.
huyo mmeo hamjachuma bado,na najua unachosubiri,sorry
Samahani umekosea kidogo...kati ya ndoa 100 za makabila mengine 80 wameoa/kuolewa na wachaga....kisha wakiwa majukwaani nikufyatuka kama magobore...wananikera/wananiudhi/wananigadhifisha na mwisho siwapendi kweli wakere wa namna hii.you don't know me dude!
hujalazimishwa kuoa machame mbona makabila yapo mengi?? nawashangaa mnakazi kutujadili tuuuuuuuu ukiona hivyo ujue tumewashika pabaya. kama hamtupendi why being bothered na sisi?? nashangaa jukwaa hili kazi kujadili wacaga mara wamachame hamuoni makabila mengine ya kuyajadili?? tena sasa tutaanzisha kampeni kila kyasaka anayekuja kuoa uchagani lazima aje na fungu la kuomba samahani manake mnazidi kutusemaa lkn kila siku ndoa 100 zinazoofungwa 70 zimeoa wachaga
hiv watu wanawake wa mbokomu wakoje???
siku ya ndo yako nunua jeneza liweke ndani kabisa, na usisahau kuandika urithi kwa watoto. maana hujui siku wala saa atakayokuja mwana wa daudi
Habari zenu wanajamvi naomba kufahamishwa sifa za wanawake wa kimachame MAZURI YAO NA MABAYA YAO asanteni naomba kuwasilisha.