Sifa za msichana wa kuoa ni zipi?

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Wadau,naomba mniambia sifa za msichana anae faa kuwa mke!!
 
Aisee hizo sifa haziko uniform mkuu.Kili mtu anaweza kuwa anapenda sifa tofauti na mtu mwingine.Lakini moja ambayo iko general sana anatakiwa awe mchamungu wa kweli na mwaminifu.Nyingine zaweza kutokana na hizo.Vipi unataka kuanza kuandaa mazingira?
 
Kama ni kupika hata houseboys wanaweza
Kama ni sex sexworkers wapo
Kama ni watoto hata wakuadopt ni wako

So kama ilivyo kwa 'wavulana' ndivyo ilivyo kwa wasichana cha Msingi ni Upendo wa dhati!
 
Angalia kuwa wewe unapenda mkeo awe wa namna gani,vinginevyo kila mtu ana sifa zake
 
msichana mwenye tabia njema, heshima na adabu kwa wakubwa na wadogo!
 
Jamani hivi inawezekana kweli mwanaume rijali kabisa na mwenye siha nzuri mpaka anafikia umri wa kuoa hajajua sifa za mwanamke anayefaa kuwa mke....................! Hebu tuacheni utani, na tuwe serious japo kidogo.
 
Jamani hivi inawezekana kweli mwanaume rijali kabisa na mwenye siha nzuri mpaka anafikia umri wa kuoa hajajua sifa za mwanamke anayefaa kuwa mke....................! Hebu tuacheni utani, na tuwe serious japo kidogo.

....mkuu, ni bora huyu anayeuliza kabla hajaingia kuliko yule anayeingia kisha anauliza!
si ushawasikia wale wanaonung'unika ati '....hawakuwa chaguo lao, wamejistukia weshakula kiapo!'
 
Mzuri wa sura, umbo na tabia. Mwenye upendo kwako na kwa watu wako wa karibu, heshima awe nayo. Anayependa kujishughulisha. Anayejiamini na awe ni mtu wa kutoa mawazo ya kujenga na si kubomoa. Awe ni mtu anayejua kuishi kwa budget. Asiwe mtu wa papara nyingi na kutamani kila kinachopita mbele ya macho yake.
Awe ni mtu anayejithamini na kuelewa nini maana ya utu.
 
Ni yule anaejua kupika jikon, anaekufurahisha kimapenzi chumbani na anaefanya usafi wa kufa mtu nyumbani kwako
 
Back
Top Bottom