Unforgettable
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 5,272
- 11,771
umetishaNilienda Njombe, aisee wanawake wakibena wanafanya kazi sana, ila sijawaona kwenye list yako.
Hayo maumbo mazuri ya wanawake wa Mbeya umeyatafsiri vipi? Ni yale mamtindi makubwa yaliyozidi makalio au ni zile ndevu ( wanawake wa mbeya + southern highlands wanaongoza kwa ndevu ndevu )
Sijaona uchapakazi kwa wagogo. Labda kama hujawahi kuishi dodoma. Au zile biashara za mboga mitaani ndo zimewapa credit.
Mkuu unautafsirije ukarimu/upole? Nenda iringa ukawaone wanyalu. Ni wapole kwa kila kitu, upole ukiwashinda wanamalizia hasira zao kwenye kamba na miti, hawana shida na wewe.
Shida watu mna chuki zenu binafsi .Elimu ipi ya kujidai Jamii forum .?
ile ya kukariri madesa au ipi ?
Sifa mbaya mbona hujaziweka
Wanyaki maumbo??? Mmh hapana kwakweli
Mkuu Heaven Sent, wanawake wakinyaki ni dada zangu kabisa ila siwezi kuunga mkono kwenye kujaaliwa maumbo.Tutake radhi wanyaki tafadhali
Yaani kuna babu yangu mmoja hivi aliishi uko kuanzia kijana mpaka anazee yupo tu mpaka wakamfata Tanga hatariWrite your reply.tanga sihami
Jamani mbona wanyaki wa siku hizi shape zinabalance vizuri tu; sema mikono ndo mineneee + zile sura za baba zetu basi weeeh. Kwenye upole tunaweza kuwepo ila unapotezwa na ile kuwa kwetu na misimamo as a result tunaishia kuonekana wababe. It's possible mtu akawa mpole ila ukicross your limit akakunyooshaMkuu Heaven Sent, wanawake wakinyaki ni dada zangu kabisa ila siwezi kuunga mkono kwenye kujaaliwa maumbo.
Pia kwenye upole wanyaki hawapo kabisa.
Hebu sema ukweli wako, Wale wanyakyusa wa kyela kweli ni wapole wale...!!!? We inaonekana hujakaa kwenu wewe. Anyway kuna watukuyu, hao ni angalau, tena sio tukuyu mjini (Hawa wanajionaga wajanja sanaa). Wapole ni ushirika, kiwira n.k
Sifa isiyofichika ya wanyaki ni Ukarimu uliopitiliza. Usiombe mmama wakinyaki aanze kukushukuru, yani hiyo Ndaga itasemwa mara 100
Nndagha mwee... Nndagha bhabhaa (baba).... Mweee Nndaghaa.... yani kila ukibadilisha habari yeye lazima akumbushie Nndaghaa....
Marehemu mchungaji Mwesya (Rungwe Boys) alituambia "Muwe makini na mabint hawa, ukarimu wetu sisi hauna mipaka"
Teh teh.. nimecheka hapo kwenye sura za baba.Jamani mbona wanyaki wa siku hizi shape zinabalance vizuri tu; sema mikono ndo mineneee + zile sura za baba zetu basi weeeh. Kwenye upole tunaweza kuwepo ila unapotezwa na ile kuwa kwetu na misimamo as a result tunaishia kuonekana wababe. It's possible mtu akawa mpole ila ukicross your limit akakunyoosha
Hapo kwenye ukarimu nakosa hata cha kuandika; kwa kweli tu wakarimu sana na tunajua kushukuru mnooooo.
Hahhaaa eti as if umemtolea figo; i can imagine izo ndagha ulizopewa. Wenye mama wakwe wanyaki watakuwa wanakuelewa sana pale wanapowapelekea zawadi au kuwatumia miamalaTeh teh.. nimecheka hapo kwenye sura za baba.
Nakubali nimeona wanyaki wenye shape ziko balanced ila wachache na hawaishi unyakyusani.
Actually naipenda character yakua na msimamo, ila there's a very thin line between msimamo na ubishi/ubabe/ung'ang'anizi. Ndugu zangu wakinyaki mara nyingi huwa wanauvuka huu mstari bila kujua wakidhani bado wapo kwenye msimamo kumbe wameshaingia kwenye ubabe/ubishi.
Speaking of kushukuru, kuna mama nilimpelekea asalali lita mbili, yule mama alishukuru hadi nikataka kulia, maana anashukuru kwa majonzi as if nimemtolea figo.
Turudi kwenye uhalisia. Hao wasomi wa Kagera wameleta mabadiliko gani kwenye jamii ya watanzania ?Shida watu mna chuki zenu binafsi .
History itabaki palepale.
Hakuna mkoa wenye wasomi wangu kama Kagera.View attachment 1203897View attachment 1203898View attachment 1203899View attachment 1203900View attachment 1203901
Yani hawahitaji mifano maana wameexperience vyakutosha. Bila shaka nawewe hutoa asante kede kede. Kama nakuona ivi unavyomimina ndagha ndagha.Hahhaaa eti as if umemtolea figo; i can imagine izo ndagha ulizopewa. Wenye mama wakwe wanyaki watakuwa wanakuelewa sana pale wanapowapelekea zawadi au kuwatumia miamala
Yani hawahitaji mifano maana wameexperience vyakutosha. Bila shaka nawewe hutoa asante kede kede. Kama nakuona ivi unavyomimina ndagha ndagha.
Na magoti na maombi juu