Sifa kuu pendwa za mwanamke na mikoa inayongoza kwa sifa hizo

NOTE: Mikoa yote na jamii zake ni bora katika upekee wao. Huu ni mtazamo wangu kwa kadiri ya uzoefu na ujuaji wangu.

KUPENDEZA/UREMBO:
1. Dar es Salaam
2. Tanga
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mwanza
6. Mbeya

UZURI WA SURA:
1. Manyara
2. Singida
3. Arusha
4. Tanga
5. Kilamanjaro
6. Pwani

MAUMBILE YA KUVUTIA (makalio, hips,..) :
1.Tanga
2. Dar es Salaam
3. Mtwara
4. Tabora
5. Mwanza
6. Mbeya

UFAHAMU WA MAHABA:
1.Tanga
2. Pwani
3. Zanzibar
4. Mtwara
5. Dar es Salaam
6. Tabora

UCHAPAKAZI WA NYUMBANI (DOMESTIC):
1. Shinyanga
2. Mara
3. Morogoro
4. Iringa
5. Kigoma
6. Njombe

UCHAPAKAZI WA KIUCHUMI:
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3.Kigoma
4. Mwanza
5. Mbeya
6. Iringa

ELIMU:
1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Arusha
4. Mbeya
5. Mwanza
6. Iringa

UTULIVU/KUTULIA:
1. Shinyanga
2. Ruvuma
3. Simiyu
4. Mbeya
5. Mara
6. Njombe

UVUMILIVU:
1. Shinyanga
2. Simiyu
3. Mara
4. Ruvuma
5. Morogoro
6. Kigoma

UAMINIFU:
1. Shinyanga
2. Mbeya
3. Ruvuma
4. Mara
5. Simiyu
6. Geita


KUJITEGEMEA/INDEPENDENT:
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Mwanza
4. Kagera
5. Mbeya
6. Kigoma

UPOLE/UKARIMU:
1. Ruvuma
2. Mbeya
3. Shinyanga
4. Simiyu
5. Morogoro
6. Iringa



Incoming....., LIST YA SIFA PENDWA KWA WANAUME
Una visa na watanzania.
 
Nilienda Njombe, aisee wanawake wakibena wanafanya kazi sana, ila sijawaona kwenye list yako.

Hayo maumbo mazuri ya wanawake wa Mbeya umeyatafsiri vipi? Ni yale mamtindi makubwa yaliyozidi makalio au ni zile ndevu ( wanawake wa mbeya + southern highlands wanaongoza kwa ndevu ndevu )

Sijaona uchapakazi kwa wagogo. Labda kama hujawahi kuishi dodoma. Au zile biashara za mboga mitaani ndo zimewapa credit.

Mkuu unautafsirije ukarimu/upole? Nenda iringa ukawaone wanyalu. Ni wapole kwa kila kitu, upole ukiwashinda wanamalizia hasira zao kwenye kamba na miti, hawana shida na wewe.
Hahahahahaahaha......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom