Sifa kuu pendwa za mwanamke na mikoa inayongoza kwa sifa hizo

MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2019
Messages
3,270
Points
2,000
MKUYENGE

MKUYENGE

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2019
3,270 2,000
NOTE: Mikoa yote na jamii zake ni bora katika upekee wao. Huu ni mtazamo wangu kwa kadiri ya uzoefu na ujuaji wangu.

KUPENDEZA/UREMBO:
1. Dar es Salaam
2. Tanga
3. Arusha
4. Kilimanjaro
5. Mwanza
6. Mbeya

UZURI WA SURA:
1. Manyara
2. Singida
3. Arusha
4. Tanga
5. Kilamanjaro
6. Pwani

MAUMBILE YA KUVUTIA (makalio, hips,..) :
1.Tanga
2. Dar es Salaam
3. Mtwara
4. Tabora
5. Mwanza
6. Mbeya

UFAHAMU WA MAHABA:
1.Tanga
2. Pwani
3. Zanzibar
4. Mtwara
5. Dar es Salaam
6. Tabora

UCHAPAKAZI WA NYUMBANI (DOMESTIC):
1. Shinyanga
2. Mara
3. Morogoro
4. Iringa
5. Kigoma
6. Njombe

UCHAPAKAZI WA KIUCHUMI:
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3.Kigoma
4. Mwanza
5. Mbeya
6. Iringa

ELIMU:
1. Kilimanjaro
2. Kagera
3. Arusha
4. Mbeya
5. Mwanza
6. Iringa

UTULIVU/KUTULIA:
1. Shinyanga
2. Ruvuma
3. Simiyu
4. Mbeya
5. Mara
6. Njombe

UVUMILIVU:
1. Shinyanga
2. Simiyu
3. Mara
4. Ruvuma
5. Morogoro
6. Kigoma

UAMINIFU:
1. Shinyanga
2. Mbeya
3. Ruvuma
4. Mara
5. Simiyu
6. Geita


KUJITEGEMEA/INDEPENDENT:
1. Kilimanjaro
2. Arusha
3. Mwanza
4. Kagera
5. Mbeya
6. Kigoma

UPOLE/UKARIMU:
1. Ruvuma
2. Mbeya
3. Shinyanga
4. Simiyu
5. Morogoro
6. IringaIncoming....., LIST YA SIFA PENDWA KWA WANAUME
tabora sio mkoa?
 
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2017
Messages
2,970
Points
2,000
Mgeni wa Jiji

Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2017
2,970 2,000
Inaelekea Shy town kuzuri maana nawaona kila kona
 
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2014
Messages
2,212
Points
2,000
M

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2014
2,212 2,000
Hapo mbeya kwenye upole umewaweka hadi wanyakyusa?
Cc Heaven Sent
Wale ni wabishi Kama Chadema.
Nimeshuhudia nyumba mbili za Wanyakyusa zimekimbiwa na wanaume mtaani kwetu kwa sababu ya mdomo na ubabe.
Ukiona Hadi mtu anaukimbia mjengo wake na kwenda kuanza maisha upya ujue hiyo sehemu sio mchezo.
 

Forum statistics

Threads 1,336,292
Members 512,585
Posts 32,533,664
Top