Sifa kuu pendwa za mwanamke na mikoa inayongoza kwa sifa hizo

Nilienda Njombe, aisee wanawake wakibena wanafanya kazi sana, ila sijawaona kwenye list yako.

Hayo maumbo mazuri ya wanawake wa Mbeya umeyatafsiri vipi? Ni yale mamtindi makubwa yaliyozidi makalio au ni zile ndevu ( wanawake wa mbeya + southern highlands wanaongoza kwa ndevu ndevu )

Sijaona uchapakazi kwa wagogo. Labda kama hujawahi kuishi dodoma. Au zile biashara za mboga mitaani ndo zimewapa credit.

Mkuu unautafsirije ukarimu/upole? Nenda iringa ukawaone wanyalu. Ni wapole kwa kila kitu, upole ukiwashinda wanamalizia hasira zao kwenye kamba na miti, hawana shida na wewe.
umetisha
 
Elimu ipi ya kujidai Jamii forum .?
ile ya kukariri madesa au ipi ?
Shida watu mna chuki zenu binafsi .

History itabaki palepale.

Hakuna mkoa wenye wasomi wangu kama Kagera.
Screenshot_20190910-210704.jpeg
Screenshot_20190910-210641.jpeg
Screenshot_20190910-210554.jpeg
Screenshot_20190910-205544.jpeg
Screenshot_20190910-210501.jpeg
 
Tutake radhi wanyaki tafadhali
Mkuu Heaven Sent, wanawake wakinyaki ni dada zangu kabisa ila siwezi kuunga mkono kwenye kujaaliwa maumbo.

Pia kwenye upole wanyaki hawapo kabisa.

Hebu sema ukweli wako, Wale wanyakyusa wa kyela kweli ni wapole wale...!!!? We inaonekana hujakaa kwenu wewe. Anyway kuna watukuyu, hao ni angalau, tena sio tukuyu mjini (Hawa wanajionaga wajanja sanaa). Wapole ni ushirika, kiwira n.k

Sifa isiyofichika ya wanyaki ni Ukarimu uliopitiliza. Usiombe mmama wakinyaki aanze kukushukuru, yani hiyo Ndaga itasemwa mara 100

Nndagha mwee... Nndagha bhabhaa (baba).... Mweee Nndaghaa.... yani kila ukibadilisha habari yeye lazima akumbushie Nndaghaa....

Marehemu mchungaji Mwesya (Rungwe Boys) alituambia "Muwe makini na mabint hawa, ukarimu wetu sisi hauna mipaka"
 
Jamani mbona wanyaki wa siku hizi shape zinabalance vizuri tu; sema mikono ndo mineneee + zile sura za baba zetu basi weeeh. Kwenye upole tunaweza kuwepo ila unapotezwa na ile kuwa kwetu na misimamo as a result tunaishia kuonekana wababe. It's possible mtu akawa mpole ila ukicross your limit akakunyoosha

Hapo kwenye ukarimu nakosa hata cha kuandika; kwa kweli tu wakarimu sana na tunajua kushukuru mnooooo.
 
Teh teh.. nimecheka hapo kwenye sura za baba.
Nakubali nimeona wanyaki wenye shape ziko balanced ila wachache na hawaishi unyakyusani.

Actually naipenda character yakua na msimamo, ila there's a very thin line between msimamo na ubishi/ubabe/ung'ang'anizi. Ndugu zangu wakinyaki mara nyingi huwa wanauvuka huu mstari bila kujua wakidhani bado wapo kwenye msimamo kumbe wameshaingia kwenye ubabe/ubishi.

Speaking of kushukuru, kuna mama nilimpelekea asalali lita mbili, yule mama alishukuru hadi nikataka kulia, maana anashukuru kwa majonzi as if nimemtolea figo.
 
Hahhaaa eti as if umemtolea figo; i can imagine izo ndagha ulizopewa. Wenye mama wakwe wanyaki watakuwa wanakuelewa sana pale wanapowapelekea zawadi au kuwatumia miamala
 
Yani hawahitaji mifano maana wameexperience vyakutosha. Bila shaka nawewe hutoa asante kede kede. Kama nakuona ivi unavyomimina ndagha ndagha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom