Hivi mtu unapimaje kama unamzidi mwingine akili?
mwenye mkwanja wa kutosha. vingine vinavumilika mbele ya pesa.
Hiyo haina maana huyo mtu hana akili au hana akili kama wewe. Yaweza kuwa yeye hana tu raghba na hayo mambo ya mifumuko ya bei, mitikisiko ya kiuchumi, katiba, na kadhalika.
Aweze kunyambua kile ambacho anakiamini,aweze kukitetea kwa hoja,neno hoja sio la kisiasa jamani hoja yaani kwa manitiki,wengine wakisikia hoja wanajua siasa wanachafuka.Aweze Yaani mpaka mwenzake anaamini,anakuja upande wake,kama ni issue za mazingira,Afya nyumbani,Upangaji/utunzaji wa fedha,,awe anajua "kuwasiliana" na mwenzake kwa wakati na awe na uwezo wa kuhoji.
wanawake wanaangalia pochi kama kigezo namba moja. mia
wanawake wanaangalia pochi kama kigezo namba moja. mia
duh haya,kama utafuatilia vizuri mwanamke ni wa pekee na tofauti sana kwa mwanaume,nitatumia mifano ifuatayo kueleza hili,kama ukiwaweka mwanume na mwanamke kila mmoja kwenye chumba chake bila maji wala chakula mwanume atfariki upesi zaidi,mwanmke ana idadi ya mifupa mingi mwilini kuliko mwanaume,wakati mwanume ana milango mitano ya fahamu mwanamke anao mmoja zaidi(mwanaume=masikio,macho,ngozi,mdomo na pua,mwanmke=masikio,macho,ngozi,mdomo,pua na hisia(anaitumia kutambua mambo))asiwe kilaza, mwanaume ambae namzidi akili ntamuonea sana:glasses-nerdy:
Hivi mtu unapimaje kama unamzidi mwingine akili?
duh haya,kama utafuatilia vizuri mwanamke ni wa pekee na tofauti sana kwa mwanaume,nitatumia mifano ifuatayo kueleza hili,kama ukiwaweka mwanume na mwanamke kila mmoja kwenye chumba chake bila maji wala chakula mwanume atfariki upesi zaidi,mwanmke ana idadi ya mifupa mingi mwilini kuliko mwanaume,wakati mwanume ana milango mitano ya fahamu mwanamke anao mmoja zaidi(mwanaume=masikio,macho,ngozi,mdomo na pua,mwanmke=masikio,macho,ngozi,mdomo,pua na hisia(anaitumia kutambua mambo))
mwanmke pia kwa kutumia uwezo waake wa hisia anaweza akaona kitu mbele kupitia hisia na kikawa hivyo,
tatizo hakuna mwenye sifa zote hizo. natamani nimuumbe wangu. lol
Nashangaa wanatupigia kelele tu ohh kujiamin ooh akili mara sjui mtunza siri...Like x10000
sijaelewa ni zaman kiasi gani,lakini hizi bado ni findings za wanasayansi na wanasaikolojiaHaya yalikua masimulizi zamani tukiwa watoto! Binafsi nina mashaka na asilimia za ukweli katika haya masimulizi..
Hapo sasa..una akili sana we mtuHuu ndio unaitwa ubinafsi, kwanini unataka kuumba kiumbe kikamilifu mwa ajili ya kiumbe kisicho kikamilifu?! Una uhakika gani kuwa wewe unazo japo chache tu kati ya zote nzuri zinazohitajika?!
Kwa taarifa tu, kwa kuwa hakuna aliye kamili, anapotokea 'aliye kamili' kiuwiano huwa hatambuliwi kwani anapimwa kwa vigezo vya wasio kamili kiuwiano!