Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini

8. Mwenye mawazo mapana

9. Muwazi na mkweli

10. Anayeridhika

11. Aliyeshupavu na jasiri

12. Mwenye huruma

13. Anaesamehe

14. Hadhi na heshima

15. Hisia ya uadilifu.
 
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana 9. Muwazi na mkweli 10. Anayeridhika 11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.

Bila kusahau mwenye six pack.......yah......six pack.......
 
Hivi mtu unapimaje kama unamzidi mwingine akili?

hata akicoment ukisoma post zake utajua anatumia akili ya kulia au ya kushoto,by the way nikisema akili namanisha uwezo wa kufikiri,kila mmoja anadefinition yake mine isn't a formulla!
 
Hivi mtu unapimaje kama unamzidi mwingine akili?

Si utaona tu wakati mnapiga story uwezo wa mwenzako. Wakati wewe unaongelea maswala ya recession, inflation, inputs za new constitution. Utasikia yeye anasema mimi yani haya mambo yana wala sitaki kuyasikia naona kama yanapoteza muda tu baada ya hapo anakuambia story za saloon, sijui jirani ana mbuzi wengi and those kind of bizarre stories
 
hata akicoment ukisoma post zake utajua anatumia akili ya kulia au ya kushoto,by the way nikisema akili namanisha uwezo wa kufikiri,kila mmoja anadefinition yake mine isn't a formulla!

Naona kama vile unazungumzia mitazamo inayopishana.

Sasa mtu kutofautiana na wewe kimtazamo hakumfanyi yeye kuwa na akili ndogo kuliko wewe.

Ni vigumu kupima akili ya mtu.
 
Si utaona tu wakati mnapiga story uwezo wa mwenzako. Wakati wewe unaongelea maswala ya recession, inflation, inputs za new constitution. Utasikia yeye anasema mimi yani haya mambo yana wala sitaki kuyasikia naona kama yanapoteza muda tu baada ya hapo anakuambia story za saloon, sijui jirani ana mbuzi wengi and those kind of bizarre stories

Hiyo haina maana huyo mtu hana akili au hana akili kama wewe. Yaweza kuwa yeye hana tu raghba na hayo mambo ya mifumuko ya bei, mitikisiko ya kiuchumi, katiba, na kadhalika.
 
hapana aisee pesa sio kila kitu kuna vitu ukivitizama hata kushika sijui unaanzia sehemu gani acha nitafute zangu.
mwenye mkwanja wa kutosha. vingine vinavumilika mbele ya pesa.
 
Back
Top Bottom