Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

ukiona mtu hajisumbui kujua mambo kama ya mfumuko wa bei na mambo ya kiuchumi basi huyu hana akilia na hafai hio haina ubishi coz hayo mambo yanaigusa familia 1 kwa 1

Sikubaliani kabisa na wewe. Kufuatilia hayo mambo si kielelezo, ishara, wala dalili ya akili za mtu.
 
sifa ya kwaza ni pesa tu hakuna mjadala.

wanawake wangapi wanaolewa na wenye pesa lakini mwisho wa siku wanaomba talaka wenyewe??? Tumia akili!! Aua we ni mwanafunzi wa shule ya msingi nn?
 
hebu ntajie kielelezo,ishara na dalili za kujua akili ya mtu ANAEISHI DUNIANI.

Uwezo wa kuvumbua vitu. Kwa mfano, bila ya mvumbuzi au wavumbuzi wa internet pengine mimi na wewe hapa tusingekuwa na uwezo kubishana kama tunavyofanya hivi sasa. Mimi sijui wewe uko pande gani ya hii dunia na huenda hata wewe hujui nilipo lakini hiki kitu kinachoitwa internet kimetuwezesha kukutana. Yeyote aliyevumbua hiki kitu ana akili.

Uwezo wa kutawala mazingira yako kwa lengo la kuboresha maisha. Kwa mfano, ujenzi wa ile Channel Tunnel ambayo ipo chini ya bahari inayounganisha Uingereza na Ufaransa. Pale ilitumika akili ya hali ya juu kufanikisha ujenzi wake.

Mfano mwingine ni Kansai International Airport iliyopo huko Osaka, Japan ambayo iko kwenye man-made island.

Those two are exceptional feats of human intellect.
 
Mi hata sijui nataka mwenye sifa gani, sory for myself

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
asiwe kilaza, mwanaume ambae namzidi akili ntamuonea sana:glasses-nerdy:

NDIO WANAUME NINAOKUTANA NAO WENGI, Basi ninawakimbizaje mchaka mchaka......but wakati mwingine naboreka coz sigain chochote zaidi ya wao kugain kutoka kwangu
 
Mimi naona1. Performance kunako 6x6 2. Pesa 3. Mvuto/ Umaarufu/ Mcheza filamu/ footballer/ mwalimu/polisi/mjeda ( kila mtu na chaguo lake)Toka hapo ndio yanafuata hayo mengine 15
 
Back
Top Bottom