Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

hongera unatisha, lakini angalia wana jf wasije anza kukugombana.

mkuu englibertm haiwezekani tena kwasababu kwanza nimeshaoa,pili nampenda sana mke wng na familia yangu kwa ujumla,tatu mimi si muumini wa mechi za ugenini hata kidogo.
 
Last edited by a moderator:
Akili gani tena hapo?Maana kama ni akili tayari anazo sema tu kiwango cha hiyo akili.
 
Najua unaweza kuwa unaelewa lakini pia aulizae ataka kujua.Uwezo wa kuja mema na mabaya.Zaidi mtu aweze kuchambua,kupima,kutafakari na kutoa majibu yaliyosahihi kwa upeo wa mhusika.
 
mtaalamu wa kuitumia shaft yake vizuri bila uvivu
 
mh ishu so vilaza watapendana na vilaza wenzie matokeo yake familia kilaza.kama watu mnapendana kweli haijalishi nani ni kilaza mwaweza jenga familia yenye fulaha kuliko hata wale maginious.
 
Bila kusahau mwenye six pack.......yah......six pack.......
Unataka six pack na wewe una flat tummy? Sio unataka abs akati wewe una belly ka una all time pregnancy...
 
Back
Top Bottom