Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana 9. Muwazi na mkweli 10. Anayeridhika 11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.

Anaweza akawa
 
duh haya,kama utafuatilia vizuri mwanamke ni wa pekee na tofauti sana kwa mwanaume,nitatumia mifano ifuatayo kueleza hili,kama ukiwaweka mwanume na mwanamke kila mmoja kwenye chumba chake bila maji wala chakula mwanume atfariki upesi zaidi,mwanmke ana idadi ya mifupa mingi mwilini kuliko mwanaume,wakati mwanume ana milango mitano ya fahamu mwanamke anao mmoja zaidi(mwanaume=masikio,macho,ngozi,mdomo na pua,mwanmke=masikio,macho,ngozi,mdomo,pua na hisia(anaitumia kutambua mambo))
mwanmke pia kwa kutumia uwezo waake wa hisia anaweza akaona kitu mbele kupitia hisia na kikawa hivyo,

sayansi ya wapi hii..ya kuoteshwa na mungu kama babu wa loliondo nini?
 
Si utaona tu wakati mnapiga story uwezo wa mwenzako. Wakati wewe unaongelea maswala ya recession, inflation, inputs za new constitution. Utasikia yeye anasema mimi yani haya mambo yana wala sitaki kuyasikia naona kama yanapoteza muda tu baada ya hapo anakuambia story za saloon, sijui jirani ana mbuzi wengi and those kind of bizarre stories

Hahahaaaa huyo mkimbie ni mzigo
 
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana 9. Muwazi na mkweli 10. Anayeridhika 11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.

umesahau pesa mkuu
 
Ishu kubwa kwa mwanamke kumpenda mwanaume ni uhakika wa kula walau milo 3
 
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana 9. Muwazi na mkweli 10. Anayeridhika 11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.

Pia mcha Mungu na muadirifu kwa jamii yote.
 
Sifa kubwa ni pesa tu hivyo vingine havisumbui sana mbele ya pesa,hakuna mwanamke asiyependa pesa..
 
Mmmh...! hapo namba 8..jaribu uone kama utakubalika.!!!..
wao mara nyingi inakuwa kinyume.
 
asiwe kilaza, mwanaume ambae namzidi akili ntamuonea sana:glasses-nerdy:
umenikumbusha mshikaji wangu mmoja alipata dem, na akakiri kabisa kua katia ya wanawake
yule alikua mwanamke ila akadai et alikua na kasoro mojatu yuko "too smart" hakosei hovyo, anaakili mno
jamaa alikua natumia neno"dem ananikimbiza sana"
jamaa akamtafutia kisa akamtema.
 
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana 9. Muwazi na mkweli 10. Anayeridhika 11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.

Kumpata mwenye vigezo vyote labda abadili jinsia ili awe yeye mwenyewe katika yeye.
 
Back
Top Bottom