Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

mafinga03

New Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
1
Reaction score
0
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae. Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache.

Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini

8. Mwenye mawazo mapana

Soma zaidi >>> Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume. Home - Timheaven.com TIM HEAVEN
 
hahahahaaa haki ya mungu naipenda sana jf. Maana hunifanya nicheke hata kama na stress
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom