Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

Sifa 15 zinazomfanya mwanamke kumpenda mwanaume.

Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana 9. Muwazi na mkweli 10. Anayeridhika 11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.

Looh! umesahau ya kwanza...awe rijali i.e asiwe -------, if not vyote 10 down
 
labda kwa wanawake wa zamani lakini wa sasa sifa kuu mmeisahau kuiweka hapo
 
Kutokuwa na uwezo wa kujenga na kutetea hoja haimaanishi mtu hana akili. Kwa mfano, kuna wanasayansi wengi tu ambao ni wazuri katika fani zao lakini ikija kwenye uwanja wa kujenga na kutetea hoja wanakuwa si wazuri sana. Sasa hao utasema hawana akili?

WE NYANI NGABU HUELEWEKI INAEZEKANA UMEZOEA KUPINGA KILA KTU , KAMA N HVO BASI WEKA SIFA ZA MWENYE AKILI ACHA KUBABAISHA WA2 KAMA WW NDO UNAEJUA KILA KTU .

JIBU LA monaco NI LA KWELI KABISA Aweze kunyambua kile ambacho anakiamini,aweze kukitetea kwa hoja,neno hoja sio la kisiasa jamani hoja yaani kwa manitiki,wengine wakisikia hoja wanajua siasa wanachafuka.Aweze Yaani mpaka mwenzake anaamini,anakuja upande wake,kama ni issue za mazingira,Afya nyumbani,Upangaji/utunzaji wa fedha,,awe anajua "kuwasiliana" na mwenzake kwa wakati na awe na uwezo wa kuhoji.
 
Kutokuwa na uwezo wa kujenga na kutetea hoja haimaanishi mtu hana akili. Kwa mfano, kuna wanasayansi wengi tu ambao ni wazuri katika fani zao lakini ikija kwenye uwanja wa kujenga na kutetea hoja wanakuwa si wazuri sana. Sasa hao utasema hawana akili?

Mbunge umemchagua wanasema anavitu kichwani bt hawezi kuwasiliana na spika kuongea watu wasikie,then utasema ana akili kweli? enterview ya jambo lolote yeye hawezi then mnasema tumuacha,basi awe anawasiliana kwa kuandika,akiona hoja mbaya ktk familia au anaandika kwasababu hawezi kuhoji sio? Hakuna silaha kubwa ktk Maisha ndugu zangu kama Kujua "KUWASILIANA"NA MWENZAKO,Mawasiliano au "Communications skills" ni muhimu sana ktk ndoa,kazini,hata humu jukwaani,inakufanya upate kazi,marafiki,kudumisha uhusiano yaani ni kama mishipa ya ARTERY AU AURIKO,Inavyofanya mawasiliano,embe shart lionekane kwa nje limeiva ndo tununue,habari ya kusema tutaona kwa ndani hatuamini mpaka tuone bwana.Kuwakilisha kile ulicho nacho kwa watu,wakafaidi ndo mawasiliano,na ndo akili hiyo.umesomaa sawa,tunataka uwakilishe ulichosoma kwa wenzio wafaidi hujui inakula kwako,SIO NAJISIFU BT WATU HUSEMA NAJUA KUWASILIANA ABOVE AVERAGE.
 
Kuwakilisha kile ulicho nacho kwa watu,wakafaidi ndo mawasiliano,na ndo akili hiyo.umesomaa sawa,tunataka uwakilishe ulichosoma kwa wenzio wafaidi hujui inakula kwako,SIO NAJISIFU BT WATU HUSEMA NAJUA KUWASILIANA ABOVE AVERAGE.

Haya basi wewe una akili.:clap2:
 
Pengine watu wengi wamekuwa wakitafuta ni jinsi gani wanaweza kupendwa na wasichana au wanawake. Niwazi kabisa kila mwanamke anachaguo lake kwa mwanaume ampendae.Huenda ukawa unavigezo kibao lakini akapenda mweyevigezo vichache. Vifuatavyo ni vigezo 15 ambavyo wasichana wengi hupenda kutoka kwa mwanaume.

1. Kujiamini

2. Mcheshi

3. Mwenye utashi

4. Anayetoa msaada unapohitajika

5. Anaetunza siri

6. Mwenye kujithamini

7. Mwenye malengo / makini 8. Mwenye mawazo mapana 9. Muwazi na mkweli 10. Anayeridhika 11. Aliyeshupavu na jasiri
12. Mwenye huruma 13. Anaesamehe 14. Hadhi na heshima 15. Hisia ya uadilifu.

inawezekana nimekamilika,yani 100% ndio maana mama Glory ameniganda hivyo?mithili ya mdudu kupe?
 
inawezekana nimekamilika,yani 100% ndio maana mama glory ameniganda hivyo?mithili ya mdudu kupe?
hongera unatisha, lakini angalia wana jf wasije anza kukugombana.
 
Hiyo haina maana huyo mtu hana akili au hana akili kama wewe. Yaweza kuwa yeye hana tu raghba na hayo mambo ya mifumuko ya bei, mitikisiko ya kiuchumi, katiba, na kadhalika.

ukiona mtu hajisumbui kujua mambo kama ya mfumuko wa bei na mambo ya kiuchumi basi huyu hana akilia na hafai hio haina ubishi coz hayo mambo yanaigusa familia 1 kwa 1
 
Back
Top Bottom