avatar yako inavutia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
avatar yako inavutia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
alaf sasa wanaokuzungusha ni madeiwaka tu wenyewe wamtulia tumkuu umeanza lini kwenda hapo karume?? dar umekuja mwaka gani??
kama unasimamishwa unataka mwenyewe kusimama sio kusingizia dawa
mwezi uliyopita niliingia pale hao unaowasema walinifata nikawaignore nikafata vitu vyangu nikasepa vizuri tu
kama ni mgeni hapa dar hao watu watakutesa sana sababu wapo kila sehemu hata kwenye kupanda daladala wapo if you know what i mean hommie