Kama ni uamuzi wako ni kwanini utuhusishe na sisi?Wakuu, habari zenu! Huu ni uamuzi wangu ambao nimeamua kuuchukua baada ya kuona napata hasara kila ninapoenda soko la mitumba pale karume, opposite na makao makuu ya TFF pale. Kitu cha kwanza ni ile system yao ukiulizia kitu basi watahakikisha wanakuzungusha karibia soko zima, yaani wanakuweka kwenye chain flan ambayo hutoki( sijui wana dawa wale) utasikia twende huku ukaangalie, kaa hapa tukuletee, vitu usipovipenda utaambiwa subiri tukuangalizie, twende huku, ukiwaambia nimeahirisha hawakuelewi kabisa, ni kama akili yako wanakuwa wameiteka hivi mpaka unaanza kuwaonea huruma kwa jinsi walivyokuhangaikia hivyo usiponunua hata kimoja si itakuwa shida sana? Kingine ni bei zao, wanasaikolojia ya juu sana wale watu, wanakujua kabisa huyu bei zake ni hizi, huyu zile. Kuna siku nimeenda pale nimechoma laki tatu hivi hivi nimekuja kutafakari vitu nilivyonunua hata havieleweki kabisa, mpaka nikawaza hawa jamaa walinipa nini, hivi nilikuwa na akili yangu timamu kweli? Kwa sasa nilichoamua ni kutokwenda kabisa karume, ntakuwa naingia madukani tu au Tandika na sehemu zingine zenye mitumba.
Pole sana.Wakuu, habari zenu! Huu ni uamuzi wangu ambao nimeamua kuuchukua baada ya kuona napata hasara kila ninapoenda soko la mitumba pale karume, opposite na makao makuu ya TFF pale. Kitu cha kwanza ni ile system yao ukiulizia kitu basi watahakikisha wanakuzungusha karibia soko zima, yaani wanakuweka kwenye chain flan ambayo hutoki( sijui wana dawa wale) utasikia twende huku ukaangalie, kaa hapa tukuletee, vitu usipovipenda utaambiwa subiri tukuangalizie, twende huku, ukiwaambia nimeahirisha hawakuelewi kabisa, ni kama akili yako wanakuwa wameiteka hivi mpaka unaanza kuwaonea huruma kwa jinsi walivyokuhangaikia hivyo usiponunua hata kimoja si itakuwa shida sana? Kingine ni bei zao, wanasaikolojia ya juu sana wale watu, wanakujua kabisa huyu bei zake ni hizi, huyu zile. Kuna siku nimeenda pale nimechoma laki tatu hivi hivi nimekuja kutafakari vitu nilivyonunua hata havieleweki kabisa, mpaka nikawaza hawa jamaa walinipa nini, hivi nilikuwa na akili yangu timamu kweli? Kwa sasa nilichoamua ni kutokwenda kabisa karume, ntakuwa naingia madukani tu au Tandika na sehemu zingine zenye mitumba.
hawana saikolojia ya juu wala nini ni wewe tu na ufala wako kenge we.Wakuu, habari zenu! Huu ni uamuzi wangu ambao nimeamua kuuchukua baada ya kuona napata hasara kila ninapoenda soko la mitumba pale karume, opposite na makao makuu ya TFF pale. Kitu cha kwanza ni ile system yao ukiulizia kitu basi watahakikisha wanakuzungusha karibia soko zima, yaani wanakuweka kwenye chain flan ambayo hutoki( sijui wana dawa wale) utasikia twende huku ukaangalie, kaa hapa tukuletee, vitu usipovipenda utaambiwa subiri tukuangalizie, twende huku, ukiwaambia nimeahirisha hawakuelewi kabisa, ni kama akili yako wanakuwa wameiteka hivi mpaka unaanza kuwaonea huruma kwa jinsi walivyokuhangaikia hivyo usiponunua hata kimoja si itakuwa shida sana? Kingine ni bei zao, wanasaikolojia ya juu sana wale watu, wanakujua kabisa huyu bei zake ni hizi, huyu zile. Kuna siku nimeenda pale nimechoma laki tatu hivi hivi nimekuja kutafakari vitu nilivyonunua hata havieleweki kabisa, mpaka nikawaza hawa jamaa walinipa nini, hivi nilikuwa na akili yangu timamu kweli? Kwa sasa nilichoamua ni kutokwenda kabisa karume, ntakuwa naingia madukani tu au Tandika na sehemu zingine zenye mitumba.
Mimi mwenyewe nilishawahi kununua masuruali ya jeans ya hovyo kabisa. Jeans ambazo sio style yangu kabisa hata kuvaa nikashindwa ikabidi niyagawe tu. Hawa jamaa huwa wanasumbua sana kiasi kwamba wanakipamba kitu mpaka kinaonekana kizuri tofauti na uhalisia wake. Mimi nilishaacha zamani sana kununua nguo za mitumbo. Sasa hivi nikitaka nguo ni kuingia kariakoo tu.Wakuu, habari zenu! Huu ni uamuzi wangu ambao nimeamua kuuchukua baada ya kuona napata hasara kila ninapoenda soko la mitumba pale karume, opposite na makao makuu ya TFF pale. Kitu cha kwanza ni ile system yao ukiulizia kitu basi watahakikisha wanakuzungusha karibia soko zima, yaani wanakuweka kwenye chain flan ambayo hutoki( sijui wana dawa wale) utasikia twende huku ukaangalie, kaa hapa tukuletee, vitu usipovipenda utaambiwa subiri tukuangalizie, twende huku, ukiwaambia nimeahirisha hawakuelewi kabisa, ni kama akili yako wanakuwa wameiteka hivi mpaka unaanza kuwaonea huruma kwa jinsi walivyokuhangaikia hivyo usiponunua hata kimoja si itakuwa shida sana? Kingine ni bei zao, wanasaikolojia ya juu sana wale watu, wanakujua kabisa huyu bei zake ni hizi, huyu zile. Kuna siku nimeenda pale nimechoma laki tatu hivi hivi nimekuja kutafakari vitu nilivyonunua hata havieleweki kabisa, mpaka nikawaza hawa jamaa walinipa nini, hivi nilikuwa na akili yangu timamu kweli? Kwa sasa nilichoamua ni kutokwenda kabisa karume, ntakuwa naingia madukani tu au Tandika na sehemu zingine zenye mitumba.
Ubarikiwe sana, binadamu mwenye hadhi ya juu wewehawana saikolojia ya juu wala nini ni wewe tu na ufala wako kenge we.
NTU na ntuWanaangalia mtu na mtu