naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
Mimi nakumbuka nilianza na Dooms Day Consprancy halafu The Ring baada ya hapo nimekuwa msomaji wa Sydney mzuri tuNovel ya kwanza ya Sheldon nilisoma Dooms Day Conspiracy.
Nikaja nikasoma zingine zaidi ya 10 za, mpaka sasa sijapata ambayo imeifikia hiyo. Kwa mtazamo wangu.
The Other Side of Sidney Sheldon comes second.