Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,219
- 3,427
Hicho cha multiple personality kinaitwa Tell Me Your Dreams.Very Good. Umeweka uambisho kwa nukuu tashdidi kabisa. Windmils of the Gods kilinifanya nisilale.....sikutaka kukiweka chini...it was hard. Mpaka nasinzia kikiwa mkononi....nikishtuka naendelea tena.
Doomsday Consp kinaelezea vizuri hbr za Allien Conspiracy kama sikosei....maana nmesoma vingi mpaka hunichanganya.
The otherside of Midnight mpaka kina Movie yake pia.
Kuna kile kimoja kilikuwa na chatacter mwenye Multi Personality.... Alikuwa anaweza kuua halafu asikumbuke kama aliua....sikumbuki kina title gani
Mara ya kwanza nakisoma nilikuwa mdogo sikuamini kama kweli hii disorder ipo. Nilishangaa saanaa.