Sidney Sheldon Novels: Wale waliomsoma huyu Mwamba

Nothing Lasts Forever cha wale kina dada madaktari wa Embacadero County Hospital nacho ni kizuri sana. Windmills of the gods kitakuweka kwenye suspense to the very end of the book kukiwa na Argentine professional assassin Angel

Ila kwangu mimi the best kazi ya Sheldon ni The Doomsday Conspiracy cha Commander Robert Bellamy, akitumwa kuwa identify witnesses walioshuhudia ajali ya "weather baloon" kwenye kijiji kidogo cha Uterndof pale Sweden. Kitabu kile kina mambo meengi sana mazuri

Kwa wanaopenda sheria na mizungu yake ya kubwagana mahakamani basi apitie The Other Side of Midnight amuone wakili Napoleon Chotas ambaye hajawahi kushindwa kwenye kesi yoyote ya maana na kubwa anavyoigeuza sheria na wanasheria kwa kadri atakavyo. Sheldon is the best
Cha masister nimekikumbuka kinaitwa The Sands of Time. Unakisoma unjihisi umeishi maisha yao yote.
Nothing Lasts Forever, Windmills of the God, The Other Side of Midnight, na Doomsday Condpiracy navifahamu vizuri sana. Unasoma kitabu kama unaangalia movie. Ila sishangai sana Sheldon alikuwa screenwriter.
Kingine ni If Tomorrow Comes cha ma con artists ni moto.
Kuna Bloodline na Master of the Game ni vya ma rich families. Acha kabisa.
 
A Stranger in the Mirror cha mdada na mkaka walioenda kutafuta maisha Hollywood. Kinasikitisha mnoo.
The Best Laid Plans ni cha huyo mdada aliyepanga kumuangusha president acha kabisa.
Ngoja niendelee kukumbuka.
 
Kuna kile cha Jennifer Parker na Adam Warner nimekisahau jina. Kuna operations za mafia hatari. Kina Salvatore "little flower"🤣
 
Aiseee kile yule mtoto aliyekufa. Nimekisahau jina ila nakipenda saanaa.
Yeah, mtoto anaitwa Joshua Adams. Jennifer alitumbukia kwenye mtego wa Mafia kwasababu mafiosi mmoja alimuokoa mwanae aliyekua ametekwa na kisha alikua akiteswa na kijana mmoja kama kibaka tu

Mwanzoni alikua mpenzi wa Adam Warner ambaye alikuja kua Rais wa US. Walikubaliana na mke wa Adams(Marry kama sikosei) kuwa Marry anapewa divorce halafu Jennifer aingie . Mke wa Adams akachomoa baadae akaamua aendelee na mumewe. Ilimchnganya sana Jennifer
 
Ndio hicho kitabu kilinisikitisha jamani. Sema jina silikumbuki hivi vitabu vya Sheldon vinafanana sana majina.
 
Moja ya vitu ambavyo mpaka leo sijafanikiwa kuacha ni usomaji wa vitabu mbalimbali Fiction na Non- Fiction. Nimekutana na waandishi mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kwa kupitia Vitabu vyao na leo hii ngependa kushare nanyi Mwandishi Nguli Sidney Sheldon.

Huyu mwandishi ni mmoja ya waandishi ninaowakubali nakumbuka mara nyingi nmekuwa hata nikikesha kusoma Novels za huyu Mwandishi.

Leo hii napenda nikupatie baadhi ya Vitabu vyake.

View attachment 1484952View attachment 1484953View attachment 1484954View attachment 1484955
Master of The Game
 
Kama umesoma vitabu vya Sidney Sheldon utakuwa msichana Classic. The one naowapenda. Wana vitu kichwani. Hongera sana. Ngoja nijaribu kukumbuka ni kitabu gani hicho maana nami sometime huwa vinanichanganya maana nmesoma vingi sana. Kama vya Jamaes Hadley Chase ambavyo hunichanganya. Mpaka nikishike njanze mwanzo ndo nakumbuka story yake.

Sidney Sheldon kipenzi cha roho yangu ❤
Nilianza kusoma vitabu vyake nikiwa std 5, cha kwanza kilikuwa The Stars Shine Down. Hicho ndo kitabu cha kwanza kusoma cha watu wazima. Mpaka namaliza hicho kitabu nilisema aiseee kumbe kuna vitu vizuri namna hii kwenye fasihi?
Mpaka sasa nimesoma vitabu vyake karibia vyote lakini nilichokipenda zaidi kilikuwa cha masista waliotoroka convent (nimekisahau jina mnikumbushe).
Huyu babu ndio alinifanya nisome vitabu mpaka nikawa na hisi kuchanganyikiwa kila nikipita bookshop.
Nimesoma vitabu mpaka nimefikia hatua ya kuweza kusoma kitabu cha kurasa 200+ chini ya masaa mawili.
Long live Sidney Sheldon!
 
Very Good. Umeweka uambisho kwa nukuu tashdidi kabisa. Windmils of the Gods kilinifanya nisilale.....sikutaka kukiweka chini...it was hard. Mpaka nasinzia kikiwa mkononi....nikishtuka naendelea tena.

Doomsday Consp kinaelezea vizuri hbr za Allien Conspiracy kama sikosei....maana nmesoma vingi mpaka hunichanganya.

The otherside of Midnight mpaka kina Movie yake pia.

Kuna kile kimoja kilikuwa na chatacter mwenye Multi Personality.... Alikuwa anaweza kuua halafu asikumbuke kama aliua....sikumbuki kina title gani

Nothing Lasts Forever cha wale kina dada madaktari wa Embacadero County Hospital nacho ni kizuri sana. Windmills of the gods kitakuweka kwenye suspense to the very end of the book kukiwa na Argentine professional assassin Angel

Ila kwangu mimi the best kazi ya Sheldon ni The Doomsday Conspiracy cha Commander Robert Bellamy, akitumwa kuwa identify witnesses walioshuhudia ajali ya "weather baloon" kwenye kijiji kidogo cha Uterndof pale Sweden. Kitabu kile kina mambo meengi sana mazuri

Kwa wanaopenda sheria na mizungu yake ya kubwagana mahakamani basi apitie The Other Side of Midnight amuone wakili Napoleon Chotas ambaye hajawahi kushindwa kwenye kesi yoyote ya maana na kubwa anavyoigeuza sheria na wanasheria kwa kadri atakavyo. Sheldon is the best
 
Hicho cha masista chaitwa ' The Sands of Time'.
Sidney Sheldon kipenzi cha roho yangu ❤
Nilianza kusoma vitabu vyake nikiwa std 5, cha kwanza kilikuwa The Stars Shine Down. Hicho ndo kitabu cha kwanza kusoma cha watu wazima. Mpaka namaliza hicho kitabu nilisema aiseee kumbe kuna vitu vizuri namna hii kwenye fasihi?
Mpaka sasa nimesoma vitabu vyake karibia vyote lakini nilichokipenda zaidi kilikuwa cha masista waliotoroka convent (nimekisahau jina mnikumbushe).
Huyu babu ndio alinifanya nisome vitabu mpaka nikawa na hisi kuchanganyikiwa kila nikipita bookshop.
Nimesoma vitabu mpaka nimefikia hatua ya kuweza kusoma kitabu cha kurasa 200+ chini ya masaa mawili.
Long live Sidney Sheldon!
 
.. k wangu Mimi, the Best Kazi ya Nguli Sidney Sheldon in 'Rage of Angels' na inayofuata in ' The Other Side of Midnight' ambacho nilikipenda kitabu na Movie yake pia ilikuwa Njema...!
 
Mi ni mpenzi wa vitabu japo classic ones, sasa hili jina lili-pop kwenye recommendation zangu kadhaa lakini baada raia fulani kum-link na Shigongo tu nikamkacha mpaka leo, maana ule utopolo kama wa yule jamaa wa bupandwamhela siwezi soma hata iweje, ila i was unfair ngoja nipitie kidogo story zake
 
Rage of Angels is quite a book. Ndio hicho cha Mafia hatari. Yuko dada mwanasheria Jennifer Parker aliyewekewa mtego na mafiosi katika siku zake za mwanzo za internship katikta ofisi ya District Attorney ambayo ilionekana kama inaenda kuhaharibu career yake lakini ikafungua fursa nyingine kwake ya kujulikana. Utakutana pia na kina Salvatore "Little flower" Fiore wakiwa chini ya Mafia Don mmoja jina limenitoka kidogo.

Ni mchanganyiko wa suspense, betrayals, kidnappings, mapenzi, biashara haramu na nguvu ya state. Adam Warner the akijaribu kumsaidia his one time lover aliyekula ndoano ya mafiosi!!!
 
Mi ni mpenzi wa vitabu japo classic ones, sasa hili jina lili-pop kwenye recommendation zangu kadhaa lakini baada raia fulani kum-link na Shigongo tu nikamkacha mpaka leo, maana ule utopolo kama wa yule jamaa wa bupandwamhela siwezi soma hata iweje, ila i was unfair ngoja nipitie kidogo story zake
Mkuu, hilo lilikua kosa la jinai kumfananisha Maestro Sheldon na huyo uliyemtaja! No comparison whatsoever
 
Ni kumkosea Heshima Sidney Sheldon kumfananisha na Shigongo.hapo unapaswa hata sisi utuombe radhi. Pia ile post yako afadhali umeandika kwa kiswahili.nchi za wenzetu wangesoma amefananishwa na shigongo kungechafuka.maandamano yangetokea karibia dunia nzima wakitaka huyo aliyesema hivyo anyongwe....mimi binafsi sijawah kusoma hadithi za kitoto za Shigongo nikisoma tu ile title naweza kukusimulia kitakachotokea.

Nlishawahi kuachana na bint sababu anasoma vitabu vya Shigongo.nlimwona hayupo smart maana akaanza kuiga ujinga wa zile stories. Nikaachana naye..

Mi ni mpenzi wa vitabu japo classic ones, sasa hili jina lili-pop kwenye recommendation zangu kadhaa lakini baada raia fulani kum-link na Shigongo tu nikamkacha mpaka leo, maana ule utopolo kama wa yule jamaa wa bupandwamhela siwezi soma hata iweje, ila i was unfair ngoja nipitie kidogo story zake
 
Mimi mwenyewe nmeshtuka sana...mwili umesisimka na hata mapigo ya moyo yameenda kasi sana. Kwa nini kumdhalilisha huy Bingwa wa Hadithi? Maana hata kama mtu humpendi sidney siyo kumdhalilisha hvyo.si ni bora tu ungemshoot risasi tujue unamchukia? Hili jambo nmemwambia jamaa aombe radhi.anaweza sababisha maafa makubwa sana....

Mkuu, hilo lilikua kosa la jinai kumfananisha Maestro Sheldon na huyo uliyemtaja! No comparison whatsoever
 
Hili suala nataka nilifuatilie. Nipatie majina kamili ya huyo RAIA aliyemfananisha SIDNEY SHELDON na Shigongo. Nipatie nimtafute.hiki suala limeharibu siku yangu yote kwa leo.how dare is he? Amekufulu katika Ulimwengu huu wa Novels.

Back
Top Bottom