Sidney Sheldon Novels: Wale waliomsoma huyu Mwamba

My best novel of all time ni DA VINCI CODE

The Da Vanci Code ni bonge la novel. Prof Robert Longdon is quite a character.

Its so touching jinsi ilivoisha kwa Sophia kukutana na bibi yake baada ya miaka mingi ya kuishi akiamini familia yake ilisha potea kwa vifo.

Nakushauri upitie kazi nyingine ya Dan Brown 'The Lost Symbol' ambayo pia Prof Langdon yupo na hutajutia muda wako
 
Mkuu Da Vinci Code ni Phenomenal!

Dah, nimekumbuka Silas yule albino aliyekuwa anatumiwa na Bishop Aringarosa Kutoka kwa The Teacher, Teabing.Silas alikuwa katili and mean but he was killed at the Tomb of Isaac Newton.

Sasa ile Trailing And Chasing after THE HOLY GRAIL by Prof. Landon na Sophie, Man I couldn’t put a book down. Plus zile secret rituals of Priory Of Sion?

Sidhani kama kutakuwa na Novel ya kusisimua na kuacha mdomo wazi kama Da Vinci Code kwa Dunia.

Nimezisoma zote mkuu Hiyo Lost Symbol ina Freemasonry imechezwa Washington DC, The Capito.

My heart skipped a beat every time I flipped a page pale kwenye yule Masterpiece alivyokuwa anamtafuta Katherine kule kwenye secret lab yake ya Noetic science!!! Gripping story beyond explanation.

Hii walizuia hata movie yake isitolewe kwasababu ina reveal vitu vizito mno na nyeti sana.

Nikapata msamiati mpya APOTHEOSIS OF GEORGE WASHINGTON.

Ukipata muda soma The Origin, his latest novel!
 
Nitakipitia The Origin. Silas kuna wakati unamuonea huruma kutokana na back ground yake lakini jamaa ni katili sana. Na kwa jina la 'imani' alikua tayari kutoa roho ya yeyote and all the time akiamini he was serving the right course.

Teabing, The Teacher ni akili nyingi sana pamoja na ulemavu wake

Prior of Sion wana mpunga mrefu sana. Kuna wakati nadhani 1982 wali bail out Bank of Vatican USD 1Bn.

Rituals zao sasa! Zinafikirisha sana
 
Kuna Siri kubwa in a plain sight mkuu.

Mfano The Last Supper & Mona Lisa.

Huwa nilikuwa naziona kama kazi zingine kumbe kuna hidden meanings.

Kitu kingine hawa watu wa kale, walikuwa hatari kwenye matumizi ya code mfano Anagrams & Ambigrams. Yaani ujumbe unafichwa kwa namna inahitaji uwe na akili sana kufumbua fumbo.

Ile Holy Grail aka Sangreal Wangekosea kidogo ku decipher ina burst out na kupoteza message ila wali manage.

Priory of Sion & Opus Dei wana claim they might be existing entities.

Brown ni Genius kwenye ku connect artifacts, philosophy, religion,architecture,science, historical places & events to potray hidden meanings which would leave your mouth agape.
 
Nothing Lasts Forever cha wale kina dada madaktari wa Embacadero County Hospital nacho ni kizuri sana. Windmills of the gods kitakuweka kwenye suspense to the very end of the book kukiwa na Argentine professional assassin Angel

Ila kwangu mimi the best kazi ya Sheldon ni The Doomsday Conspiracy cha Commander Robert Bellamy, akitumwa kuwa identify witnesses walioshuhudia ajali ya "weather baloon" kwenye kijiji kidogo cha Uterndof pale Sweden. Kitabu kile kina mambo meengi sana mazuri

Kwa wanaopenda sheria na mizungu yake ya kubwagana mahakamani basi apitie The Other Side of Midnight amuone wakili Napoleon Chotas ambaye hajawahi kushindwa kwenye kesi yoyote ya maana na kubwa anavyoigeuza sheria na wanasheria kwa kadri atakavyo. Sheldon is the best
...Bila kumsahau Mario Puzo na The Godfather na Fools Die vyake....!
 
Moja ya vitu ambavyo mpaka leo sijafanikiwa kuacha ni usomaji wa vitabu mbalimbali Fiction na Non- Fiction. Nimekutana na waandishi mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kwa kupitia Vitabu vyao na leo hii ngependa kushare nanyi Mwandishi Nguli Sidney Sheldon.

Huyu mwandishi ni mmoja ya waandishi ninaowakubali nakumbuka mara nyingi nmekuwa hata nikikesha kusoma Novels za huyu Mwandishi.

Leo hii napenda nikupatie baadhi ya Vitabu vyake.

View attachment 1484952View attachment 1484953View attachment 1484954View attachment 1484955
Ni vya ngeli?! Au majina tu?!
 
Kuna Siri kubwa in a plain sight mkuu.

Mfano The Last Supper & Mona Lisa.

Huwa nilikuwa naziona kama kazi zingine kumbe kuna hidden meanings.

Kitu kingine hawa watu wa kale, walikuwa hatari kwenye matumizi ya code mfano Anagrams & Ambigrams. Yaani ujumbe unafichwa kwa namna inahitaji uwe na akili sana kufumbua fumbo.

Ile Holy Grail aka Sangreal Wangekosea kidogo ku decipher ina burst out na kupoteza message ila wali manage.

Priory of Sion & Opus Dei wana claim they might be existing entities.

Brown ni Genius kwenye ku connect artifacts, philosophy, religion,architecture,science, historical places & events to potray hidden meanings which would leave your mouth agape.
Salute kwako mkuu. Leo ume refresh memory yangu kiasi kwamba nimepata mzuka wa kutaka kuzirudia tena kazi za mwamba Brown
 
Mkuu Da Vinci Code ni Phenomenal!

Dah, nimekumbuka Silas yule albino aliyekuwa anatumiwa na Bishop Aringarosa Kutoka kwa The Teacher, Teabing.Silas alikuwa katili and mean but he was killed at the Tomb of Isaac Newton.

Sasa ile Trailing And Chasing after THE HOLY GRAIL by Prof. Landon na Sophie, Man I couldn’t put a book down. Plus zile secret rituals of Priory Of Sion?

Sidhani kama kutakuwa na Novel ya kusisimua na kuacha mdomo wazi kama Da Vinci Code kwa Dunia.

Nimezisoma zote mkuu Hiyo Lost Symbol ina Freemasonry imechezwa Washington DC, The Capito.

My heart skipped a beat every time I flipped a page pale kwenye yule Masterpiece alivyokuwa anamtafuta Katherine kule kwenye secret lab yake ya Noetic science!!! Gripping story beyond explanation.

Hii walizuia hata movie yake isitolewe kwasababu ina reveal vitu vizito mno na nyeti sana.

Nikapata msamiati mpya APOTHEOSIS OF GEORGE WASHINGTON.

Ukipata muda soma The Origin, his latest novel!
Yule msaidizi wa Catherine aliuwawa na yule chalii kwenye ile secret lab yao. Ila wazungu kama wana akili za ziada flan hivi. That Peter Solomon's son pamoja na kua naughty na akili za kihalifu na ni school drop out alifanya vitu vya kisomi japo ni distructive
 
Sidney Sheldon kipenzi cha roho yangu ❤
Nilianza kusoma vitabu vyake nikiwa std 5, cha kwanza kilikuwa The Stars Shine Down. Hicho ndo kitabu cha kwanza kusoma cha watu wazima. Mpaka namaliza hicho kitabu nilisema aiseee kumbe kuna vitu vizuri namna hii kwenye fasihi?
Mpaka sasa nimesoma vitabu vyake karibia vyote lakini nilichokipenda zaidi kilikuwa cha masista waliotoroka convent (nimekisahau jina mnikumbushe).
Huyu babu ndio alinifanya nisome vitabu mpaka nikawa na hisi kuchanganyikiwa kila nikipita bookshop.
Nimesoma vitabu mpaka nimefikia hatua ya kuweza kusoma kitabu cha kurasa 200+ chini ya masaa mawili.
Long live Sidney Sheldon!
Congole kwako.. wewe ni nguli wa vitabu
 
Stieg Larson books pia ni nzuri
The girl with the golden tatoo
The girl who played with fire
The girl who kicked the Hornet's nest
But i love Blood line
Nothing Lasts Forever
The windmills of the gods
 
Yule msaidizi wa Catherine aliuwawa na yule chalii kwenye ile secret lab yao. Ila wazungu kama wana akili za ziada flan hivi. That Peter Solomon's son pamoja na kua naughty na akili za kihalifu na ni school drop out alifanya vitu vya kisomi japo ni distructive

Trish Dunne, aliuwawa kikatili sana na Yule Monster kipindi anamuonesha fake doctor a pods with ethanol bila kujua ndio monster it was too late and she succumbed to death when she was drowned into the pods by that monster.

Sasa jinsi wanavyoielezea hiyo facility ya Katherine ambayo imejengwa kwa siri na mifumo migumu sana, una imagine vitu strange in a real world.

Aliponea tundu la sindano baada ya monster kuanza kumsaka mule lab.

Jamaa gaidi aliua mother wa Katherine, he was 33rd Mason.

Wazungu hapana, sijaona African writers ambao wapo even an inch close to Dan Brown and other best selling authors in crime & thriller.

Hii lost symbol nikitulia nataka nirudie upya I read while unsettled.
 
Mi ni mpenzi wa vitabu japo classic ones, sasa hili jina lili-pop kwenye recommendation zangu kadhaa lakini baada raia fulani kum-link na Shigongo tu nikamkacha mpaka leo, maana ule utopolo kama wa yule jamaa wa bupandwamhela siwezi soma hata iweje, ila i was unfair ngoja nipitie kidogo story zake
Mimi hata ukinipa na pesa siwezi msoma shigongo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom