Sidney Sheldon Novels: Wale waliomsoma huyu Mwamba

Sidney Sheldon Novels: Wale waliomsoma huyu Mwamba

Nothing Lasts Forever cha wale kina dada madaktari wa Embacadero County Hospital nacho ni kizuri sana. Windmills of the gods kitakuweka kwenye suspense to the very end of the book kukiwa na Argentine professional assassin Angel

Ila kwangu mimi the best kazi ya Sheldon ni The Doomsday Conspiracy cha Commander Robert Bellamy, akitumwa kuwa identify witnesses walioshuhudia ajali ya "weather baloon" kwenye kijiji kidogo cha Uterndof pale Sweden. Kitabu kile kina mambo meengi sana mazuri

Kwa wanaopenda sheria na mizungu yake ya kubwagana mahakamani basi apitie The Other Side of Midnight amuone wakili Napoleon Chotas ambaye hajawahi kushindwa kwenye kesi yoyote ya maana na kubwa anavyoigeuza sheria na wanasheria kwa kadri atakavyo. Sheldon is the best

Kwenye BOLD pamoja sana mkuu, sijawai kuwa kwenye Dilemma kama wakati wa kusoma kitabu hiki, wakati wote nilikuwa naombea katika ile kesi yule dada pamoja na kidumu chake washindwe, lakini walipochezewa mchezo pale mwisho nilibadili gia angani na kumlaani wakili Napolean na lile tajiri. Kwa kweli jamaa ni mtunzi mzuri sana, Pamoja na Mario PUZO (The Godfather) na Fredrick Forth ( The day of the Jackal na vingine vingi). Sheldon nimesoma kama saba hivi siku hizi mambo mengi lkn nitakanza tena kusoma
 
The star shine down.
The best laid plan.
Master of the game.

Hivi vitabu ni fire.
 
Du unenigusa sana. Nimemalizana naye huyu Mwamba. Sasa naenda na David Baldacci, Tom Clancy - Jack Ryan. Robert Ludlum na wanachokuwa nembo yake. Ila Sheldon alikuwa kiboko. Unanua jina kabla hata ya kusoma. Reading Novels Ni Hobby yangu ya toka Form 2. hela nayonunua vitabu inaweza fanya makubwa. Ila ndo addiction yangu.
Msome na Mark Greaney,,hawa ndo waandishi wa generation mpya,wana vitu adimu sana
 
Kitabu changu cha kwanza cha huyu Mwamba kilikuwa The other side of the midnight, kikafuata Masters of the game na Stars Shines down
 
Yeah, mtoto anaitwa Joshua Adams. Jennifer alitumbukia kwenye mtego wa Mafia kwasababu mafiosi mmoja alimuokoa mwanae aliyekua ametekwa na kisha alikua akiteswa na kijana mmoja kama kibaka tu

Mwanzoni alikua mpenzi wa Adam Warner ambaye alikuja kua Rais wa US. Walikubaliana na mke wa Adams(Marry kama sikosei) kuwa Marry anapewa divorce halafu Jennifer aingie . Mke wa Adams akachomoa baadae akaamua aendelee na mumewe. Ilimchnganya sana Jennifer
Kama sikosei Janifer alikuwa Lawyer alikuwa forced kulipa fadhila na Mafia baada ya yeye kusaidiwa kuokolewa Mwanae
 
hivi naweza kupata wapi hivi vitabu online..au kama kuna mtu anasoft copies anisaidie...
 
Hili suala nataka nilifuatilie. Nipatie majina kamili ya huyo RAIA aliyemfananisha SIDNEY SHELDON na Shigongo. Nipatie nimtafute.hiki suala limeharibu siku yangu yote kwa leo.how dare is he? Amekufulu katika Ulimwengu huu wa Novels.
dah alinifanya hadi nikate tamaa kumsoma Sheldon, maana aliefananishwa nae ni shida sio kwa ngonjera zile anazoandika kila uchao kwenye gazeti udaku zake
 
ila twende mbele turudi nyuma ukiachana na wale waandishi wa classic novels kama Charles dickens, sir athur conan doyle n.k n.k zama hizi za hawa modern writers kuna fundi wa mafundi wa kuitwa paulo Coelho mzee wa alchemist huyu jamaa ni shida novels zake nyingi zina madini konki sana halafu zimetafsiriwa kutoka lugha ya kireno lakini bado ni za moto
 
hivi naweza kupata wapi hivi vitabu online..au kama kuna mtu anasoft copies anisaidie...
download application inaitwa wattpad hutajutia ila jau kiaina ni option ya watu kuupload stories zao so unaweza kukutana na pumba nyingi ila ukijua madini unayoyahitaji ni rahisi kuyasaka na kupata ile kitu inapenda ni app nzuri sana
 
Ni kumkosea Heshima Sidney Sheldon kumfananisha na Shigongo.hapo unapaswa hata sisi utuombe radhi. Pia ile post yako afadhali umeandika kwa kiswahili.nchi za wenzetu wangesoma amefananishwa na shigongo kungechafuka.maandamano yangetokea karibia dunia nzima wakitaka huyo aliyesema hivyo anyongwe....mimi binafsi sijawah kusoma hadithi za kitoto za Shigongo nikisoma tu ile title naweza kukusimulia kitakachotokea.

Nlishawahi kuachana na bint sababu anasoma vitabu vya Shigongo.nlimwona hayupo smart maana akaanza kuiga ujinga wa zile stories. Nikaachana naye..
Mniwie radhi kwa hilo japo aliemfananisha nae jina kapuni ila alivyonijuza tu sikutaka hata kuhangaika kutafuta vitabu vya sheldon maana jamaa wa bupandwamhela aliemfananisha kwa kweli hapana novels zake ni kimeo hata ukinipa bure sisomi
 
Sidney Sheldon kipenzi cha roho yangu ❤
Nilianza kusoma vitabu vyake nikiwa std 5, cha kwanza kilikuwa The Stars Shine Down. Hicho ndo kitabu cha kwanza kusoma cha watu wazima. Mpaka namaliza hicho kitabu nilisema aiseee kumbe kuna vitu vizuri namna hii kwenye fasihi?
Mpaka sasa nimesoma vitabu vyake karibia vyote lakini nilichokipenda zaidi kilikuwa cha masista waliotoroka convent (nimekisahau jina mnikumbushe).
Huyu babu ndio alinifanya nisome vitabu mpaka nikawa na hisi kuchanganyikiwa kila nikipita bookshop.
Nimesoma vitabu mpaka nimefikia hatua ya kuweza kusoma kitabu cha kurasa 200+ chini ya masaa mawili.
Long live Sidney Sheldon!

The sands of times ...Masista wale !
 
Moja ya vitu ambavyo mpaka leo sijafanikiwa kuacha ni usomaji wa vitabu mbalimbali Fiction na Non- Fiction. Nimekutana na waandishi mbalimbali ndani na nje ya Tanzania kwa kupitia Vitabu vyao na leo hii ngependa kushare nanyi Mwandishi Nguli Sidney Sheldon.

Huyu mwandishi ni mmoja ya waandishi ninaowakubali nakumbuka mara nyingi nmekuwa hata nikikesha kusoma Novels za huyu Mwandishi.

Leo hii napenda nikupatie baadhi ya Vitabu vyake.

View attachment 1484952View attachment 1484953View attachment 1484954View attachment 1484955
Mimi kwakweli hadley Chase alinikamata sana
 
Kama umesoma vitabu vya Sidney Sheldon utakuwa msichana Classic. The one naowapenda. Wana vitu kichwani. Hongera sana. Ngoja nijaribu kukumbuka ni kitabu gani hicho maana nami sometime huwa vinanichanganya maana nmesoma vingi sana. Kama vya Jamaes Hadley Chase ambavyo hunichanganya. Mpaka nikishike njanze mwanzo ndo nakumbuka story yake.
Yes vya James vinachanganya sana na nimevisoma vingi. Sidhani kama nimemaliza vyote.
 
Mbona nmeviweka viwili hapo anza na kimoja. Ukimaliza ntakuongeza.

hivi naweza kupata wapi hivi vitabu online..au kama kuna mtu anasoft copies anisaidie...
 
I've read so many of Sidney's novels ni kama kuingia ndani ya hicho kitabu na kuishi na hao characters .....
Nakumbuka nikiwa form six karibu na mitihani ya national niliibiwa novel ya THE OTHER SIDE OF MIDNIGHT aiseeee nilikosa hata mood ya kusoma .His novels are soooooo addictive

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu nmesoma vitabu vyake vingi sana... Sana mpaka navichanganya. Maana kimoja nakimaliza kwa siku.....kesho yake navuta kingine.... Kwa hbr za kihalifu yupo vizur sana.nmesoma vitabu vyake nikiwa darasa la 6 nikaendelea mpaka leo huwa naweza kamata kimoja nikasoma maisha yakaendelea.

Mimi kwakweli hadley Chase alinikamata sana
 
Back
Top Bottom