Siasa zimeikumba fani ya afya. Udaktari sasa miaka mitatu chuo. Lengo ni kujaza majengo waliyojenga mikoani (zahanati kila kata) wakawa wanaombea kura. Wananchi afya zetu zimewekwa rehani, mdomoni mwa mamba! Mtaala tayari. Inasubiriwa udahili vyuoni. Kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu!