Siasa zaingia rasmi katika afya

mangifera

Member
Oct 15, 2011
47
34
Siasa zimeikumba fani ya afya. Udaktari sasa miaka mitatu chuo. Lengo ni kujaza majengo waliyojenga mikoani (zahanati kila kata) wakawa wanaombea kura. Wananchi afya zetu zimewekwa rehani, mdomoni mwa mamba! Mtaala tayari. Inasubiriwa udahili vyuoni. Kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu!
 
Duh !!! Yes kweli hii ni CCM na kuendesha Nchi .Wamewapa elimu ya upe ? Wacha tufe sasa
 
Sipati picha kusoma preclinical, paraclinical na clinical yenyewe kwa miaka mitatu. Kama habari hii ni ya kweli basi tumekwisha.
 
Inawezekana, unapigwa muhtasari na notes za kuendelea kujisomea ukiwa kazini. Mbele ya ufisadi kila kitu kinawezekana isipokuwa kuona jehena au ahera, mbingu
 
Mmh! Ndio tuseme tumeamua kuanzisha barefoot doctors? Kwa kweli mimi nikiumwa wasiniguse watu kama hao. Mambo ya walimu wa UPE haya.
 
Siasa zimeikumba fani ya afya. Udaktari sasa miaka mitatu chuo. Lengo ni kujaza majengo waliyojenga mikoani (zahanati kila kata) wakawa wanaombea kura. Wananchi afya zetu zimewekwa rehani, mdomoni mwa mamba! Mtaala tayari. Inasubiriwa udahili vyuoni. Kweli Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu!

Mbona elimu ya udaktari tanzania ni ya UPE siku zote!!! hakuna jipya hapo. Jamaa yangu alisoma udaktari hapo muhimbili anasema wakati wa mafunzo yake hapakuwa na vifaa muhimu kama vya kucheck arterial blood gases (ABG machines) nk. Sasa daktari anafundishwa bila kuwepo vifaa muhimu si ni UPE huyo ??? Ana tofauti gani ya mwanafunzi wa shule ya kata anaesoma sayansi sekondari bila maabara? Kidumu chama cha mapinduzi.
 
Nonsense. It is important to differentiate between 'doctors' i.e degree holders and clinical officers. There is no such thing as a 3-year medical training.
 
Ni suala la muda tu. Unajua kuna watu muda wote wanalenga kumchezesha shere ****** kwa hiyo wanamuanzishia mambo ya ajbau ajabu ili mradi tu ionekane kipindi cha utawala wake ni hovyo tu. Na hivi asivyopenda kukishughulisha kichwa na akili yake basi mambo ndo yanaenda yenyewe tu, ni kama kila kitu kipo kwenye autopilot mode
 
mmenikumbusha ule ualimu wa wiki 6. hivi bado ile programu inaendelea? walikua wanaitwa walimu wa maji ya moto. vingereza vyao 'zat wani endi zis wani iz her wife'
 
mmenikumbusha ule ualimu wa wiki 6. hivi bado ile programu inaendelea? walikua wanaitwa walimu wa maji ya moto. vingereza vyao 'zat wani endi zis wani iz her wife'
Mleta hoja ana hoja nzito sana lakini amezipanga vibaya. Alitakiwa achanue hali ya sasa qualifications za sasa kisha aelezee hiyo kozi ikoje hahafu ahitimishe athari zake
 
kupata details za curriculum mpya inaweza kumuwia vigumu. bt seriously,ukiangalia mziki wa udaktari na uhitaji wa ward rotations i hope kama ni kweli wameangalia hii vizuri. tofauti ya udaktari na fani zingine za kisayansi ni kwamba dr hawezi kwenda kujaribiashia kwa mgonjwa. nasikitika kwa sababu with the current education system (mara mtihani wa form 2 hakuna,mara upo ila hakuna mchujo), tukifanya hivi kwa proffessions tutaishia kubaya.
well,obviously madaktari wetu watapata challenge ya kukubalika internationally.

U ar right pal, issue ni how will the society and professional bodies regard them

otherwise ni another milestone in diluting professionals
 
sasa ndugu yangu Mangifera mbona umeanzisha threads mbili za habari hiyohiyo? kuna ile ya udaktari wa vodafasta
 
Back
Top Bottom