Siasa za Waingereza zinachekesha

Siasa za Waingereza zinachekesha

comte

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
9,014
Reaction score
6,834
1567315136532.png
 
Nyumba ya jirani kunawaka moto Mola nilinde na wafitini
Naenda kazini kumewaka moto, narudi nyumbani naukuta moto
Mola nilinde na wafitini, Mola nilinde na wafitiniiiii
 
1567319327307.png

MHUUUUU,KWELI Inaelekea lakini hii ni Europe ,walimu wetu wa kila kitu isipokuwa ujinga.Huenda ujinga wao ukawa elimu kwetu,nafurahia sana mifumo ya wazungu,watu wanaodhibiti siasa,tecknology,chumi,na hata dini za walimwengu walio wengi.
ustaarabu kwao umetamalaki,lakini yawezekana kweli siku mambo yakageuka wakaanza kubomoana na kuchapana kama waarabu na waafrika tuna vyochapana na kuuwana.
Naiombea sana siku hiyo Ulaya kikinuka ,Niwe sipo tena duniani,maana Afrika ndio itakuwa super power na Huenda watu kama akina Magufuli wakawa wengi sana Afrika na wakatamalaki bara hili wakaanza kupokea wimbi la wakimbizi Toka Ulaya ,KUTESA KWA ZAMU.
 
Siku zoooooote mimi sielewi kuhusu ufalme/umalikia; haya ni matambiko tu hakuna kitu hapo. Kwamba kuna watu wao ni watawala tuuuu lakini huku kwetu tunaambiwa mwisho miaka 10. Kule kwao mkuu wa nchi anakaa hadi afie kwenye kiti! Huyo bibi anakaribia kufikisha karne, ametawala hadi ametawala na sehemu ya mrithi wake manake Charles naye kazeeeka na hana nafasi ya kutawala tena bali utawala utaenda kwa mwanae. Kila siku demokrasia wakati wao uchafu mtupu; wanakera sana.
 
Malkia hana madaraka yoyote ya kuathiri maslahi ya Mwananchi wa kawaida. Ni Kama refa tu ambaye kazi yake ni kuangalia sheria na kutoa uamuzi.

Kwa mfano hili kuna maneno Malkia hajapenda alichofanya PM lakini kwasababu PM katiba inamruhusu kufanya hivyo Malkia hawezi kusema NO.

Kwahiyo PM ndio kiongozi na ndiye ana ukomo wa miaka mitano na kisha uchaguzi.
 
Ingekuwa haya yanafanyika Tanzania tungewasikia akina Zitto,Lissu wanasema wanaenda UN kulalamika kukandamizwa kwa demokrasia.
Wakati mwingine Ni ujinga tu unawasumbua.

Waingereza wanafanya hayo kwa kufuata katiba yako.
Wapinzani wa waziri mkuu wao nao wana njia zao nyingi tu za kupambana na waziri mkuu kisheria. Ikiwemo kumtoa.

Sikiliza kuanzia wiki kesho na ndio utagundua unachosema hakiendani kabisa na mfano wa Waingereza.
 
Malkia hana madaraka yoyote ya kuathiri maslahi ya Mwananchi wa kawaida. Ni Kama refa tu ambaye kazi yake ni kuangalia sheria na kutoa uamuzi.

Kwa mfano hili kuna maneno Malkia hajapenda alichofanya PM lakini kwasababu PM katiba inamruhusu kufanya hivyo Malkia hawezi kusema NO.

Kwahiyo PM ndio kiongozi na ndiye ana ukomo wa miaka mitano na kisha uchaguzi.

Hata PM wa Uingereza hachaguliwi na wananchi.
 
Wameanza kushtukiana mi wazungu nilijua nao ni kama sisi tu labda kama wametuzidi ni kupamba miji yao baada ya kushndwa kuzima moto wa amazoni au kutibu magonjwa sugu
Na baada ya waingereza kushindwa kuzima moto juu ya ghrofa nikaona hapa ni wale wale tu!
 
Dhambi ya ubaguzi haijawahi kumuacha mtu salama ,bila brexit hawa jamaa wasingefika huku walikofika
 
Hata PM wa Uingereza hachaguliwi na wananchi.
Hutokana na wabunge ambao huchaguliwa na wananchi. Huwezi kuwa PM bila kuwa mbunge.

PM karibu wote duniani huchaguliwa na wabunge wenzao.
 
Mkuu Trust me , hizo nchi za Ulaya zimeshajifia kitambo, ni historia tu ndio zinazowabeba na ndizo wanazotumia kututishia, ila kiuhalisia hakuna tena la maana toka kwao, wanaoziendesha hizo nchi ni wageni, wazawa wanabweteka tu. Hapa nazungumzia wanaofanya kazi za uzalishaji.
 
Back
Top Bottom