MOTOCHINI
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 29,105
- 35,516
Hana Maamuzi ya moja kwa moja kama huyo wa UkKwani PM wa Tanzania anachaguliwa na wananchi ?
Hana Maamuzi ya moja kwa moja kama huyo wa UkKwani PM wa Tanzania anachaguliwa na wananchi ?
Mbona hata afrika chaguzi zinafanyika na viongozi wanapatikana kihalali lakini tunaambiwa ni madikteta.Hujui kinachoongelewa. Ni kwamba PM wa Uingereza anategemea tu uwingi wa wabunge na pia lazima awe mbunge.
Chama kilichoshinda kwa maana kuwa na majority bungeni kinaendelea kutoa PM mpaka muhula wa ubunge uishe ambao kwasasa ni miaka mitano.
PM akifa au kujiuzuru Chama kinateua mbunge mwingine kuwa kiongozi wa chama na pia PM.
Kunapokuwa na uchaguzi mkuu. Kiongozi wa Chama kwenye uchaguzi huo ndio anakuwa PM kama Chama chake kikishinda. Kwahiyo wapiga kura wanapochagua wanajua nani atakuwa PM.
Kiuhalisia kwa siasa za UK wananchi hawamchagui PM moja kwa moja. Hiyo
Twitter ni vijembe tu vya kisasa. Wote wako hapo kihalali kabisa.
Ok.Hana Maamuzi ya moja kwa moja kama huyo wa Uk
Wameshajibu mkuu. Japo wamejibu kwa kujiumaumaAkikujibu ni left jf
Nimepewa jibu ambalo halilidhishiAkikujibu ni left jf
Anachaguliwa na nani au anajichagua mwenyewe ?Huwezi Kulinganisha mamlaka ya Kassim Majaliwa na PM wa Uingereza.
PM wa Uingereza anakaribia kuwa sawa na Rais wa Bongo halafu hachaguliwi na wananchi.
Anachaguliwa na nani au anajichagua mwenyewe ?
Nmeona mkuu wajibu kilaghai sana sijajua wamejitoa akili au ndio akili zilipoishiaNimepewa jibu ambalo halilidhishi
Tofauti na madikteta wa Afrika, maamuzi yao ni ya mwisho.Rejea post yako #32 hapa ulikuwa unamaanisha nini
"Ila wanapoenda kuchagua wanajua wakichagua wabunge wa Chama fulani PM atakuwa mtu fulani. Huwezi badilisha baada ya matokeo. Labda kutokee tatizo na njia za kumtoa zitumike"
Mbona hata afrika chaguzi zinafanyika na viongozi wanapatikana kihalali lakini tunaambiwa ni madikteta.
Mimi sioni ugumu kumuita Boris dikteta kwa sababu amefuata mkondo na matendo yaleyale ambayo yakitendwa na viongozi wa afrika wanaitwa jina hilo.
Kama kusimamisha bunge ni kitendo cha kidemokrasia hata Theresa May angekitumia. Lakini mama wa watu alipamba kidemokrasia mpaka akanyoosha mikono juu.
Jamani uungwana ni vitendo siyo kila kinachofanywa na mzungu ni sahihi wao pia ni binadamu.
Oooh oooh oooh mola nilindeeNyumba ya jirani kunawaka moto Mola nilinde na wafitini
Naenda kazini kumewaka moto, narudi nyumbani naukuta moto
Mola nilinde na wafitini, Mola nilinde na wafitiniiiii