Siasa za Waingereza zinachekesha

Siasa za Waingereza zinachekesha

Kama hukusoma English History unaweza ukasema Malkia /Mfalme ndie head of the Govt the answer is No the head is PM with executive powers.The queen she is head of state of United Kingdom.The PM is voted democratically while the King/Queen usurp powers by succession or virtual of their positions
 
PM hachaguliwi na wananchi. Mwenyekiti wa chama kinachopata wabunge wengi ndiye anayekuwa PM.
Sioni demokrasia hapo.
 
Hutokana na wabunge ambao huchaguliwa na wananchi. Huwezi kuwa PM bila kuwa mbunge.

PM karibu wote duniani huchaguliwa na wabunge wenzao.

Siyo kweli. Nchi nyingi za Ulaya zinazoongozwa na PM hazipati PM kwa mfumo kama wa Tanzania.
Kwa Uingereza, PM huwa ni Mwenyekiti wa chama kinachopata wabunge wengi.

Ni kama kwa huku CHADEMA wakipata wabunge wengi Freeman Mbowe awe PM.
 
Hapana mkuu,
Umetafsiri vibaya. Kitu pekee kinachoangaliwa ni uwezo wa kuungwa mkono na wabunge wengi na pia lazima uwe mbunge.
Sasa mara nyingi kiongozi wa Chama ndiye ana command kuungwa mkono zaidi.

Mtu yeyote wanayeona anaweza kuwa PM ndiye humchagua kuwa kiongozi wa chama.

Ukikosa ubunge wa kuchaguliwa huwezi kuwa kiongozi wa Chama na hivyo huwezi kuwa PM.
 
PM hachaguliwi na wananchi. Mwenyekiti wa chama kinachopata wabunge wengi ndiye anayekuwa PM.
Sioni demokrasia hapo.
Huyo Mwenyekiti lazima awe amechaguliwa kuwa mbunge. Ukikosa ubunge huwezi kuchaguliwa kuwa PM. Inabidi ujiuzuru na mwingine achaguliwe kuongoza chama.
 
Hapana mkuu,
Umetafsiri vibaya. Kitu pekee kinachoangaliwa ni uwezo wa kuungwa mkono na wabunge wengi na pia lazima uwe mbunge.
Sasa mara nyingi kiongozi wa Chama ndiye ana command kuungwa mkono zaidi.

Mtu yeyote wanayeona anaweza kuwa PM ndiye humchagua kuwa kiongozi wa chama.

Ukikosa ubunge wa kuchaguliwa huwezi kuwa kiongozi wa Chama na hivyo huwezi kuwa PM.

Kwa nini asichaguliwe na wananchi moja kwa moja?
Mfumo huo sio wa kidemokrasia.
 
Ingekuwa ni nchi ya Afrika wangekwenda mbali kwa kuonesha wasiwasi kwa kuandika barua/waraka kupinga au kuiwekea vikwazo vya kiuchumi
Mi naona nasisi tuwaandikie waraka tukionyesha wasiwasi wetu na ukandamizaji wa demokrasia ya watu wa nchi yao.
 
Siku zoooooote mimi sielewi kuhusu ufalme/umalikia; haya ni matambiko tu hakuna kitu hapo. Kwamba kuna watu wao ni watawala tuuuu lakini huku kwetu tunaambiwa mwisho miaka 10. Kule kwao mkuu wa nchi anakaa hadi afie kwenye kiti! Huyo bibi anakaribia kufikisha karne, ametawala hadi ametawala na sehemu ya mrithi wake manake Charles naye kazeeeka na hana nafasi ya kutawala tena bali utawala utaenda kwa mwanae. Kila siku demokrasia wakati wao uchafu mtupu; wanakera sana.
Mugabe aliwaambia
 
PM hachaguliwi na wananchi. Mwenyekiti wa chama kinachopata wabunge wengi ndiye anayekuwa PM.
Sioni demokrasia hapo.
Kuna nchi ambayo PM anatoka kwenye chama chenye wabunge wachache ?
 
Huwezi Kulinganisha mamlaka ya Kassim Majaliwa na PM wa Uingereza.
PM wa Uingereza anakaribia kuwa sawa na Rais wa Bongo halafu hachaguliwi na wananchi.
 
Kwa nini asichaguliwe na wananchi moja kwa moja?
Mfumo huo sio wa kidemokrasia.
Kwasababu sio head of state.
PM wengi huchaguliwa na wabunge.

Tofauti tu kwa UK mwenye madaraka ni PM na sio head of state ambaye ni Malkia.

Uzuri wa mfumo huu hakuna ugomvi kati ya rais na PM kama wanatoka vyama tofauti.

Ubaya wake ni kwamba wananchi mmoja mmoja hawamchagui PM kwa kura zao.

Ila wanapoenda kuchagua wanajua wakichagua wabunge wa Chama fulani PM atakuwa mtu fulani. Huwezi badilisha baada ya matokeo. Labda kutokee tatizo na njia za kumtoa zitumike.

Kampeni zote huongozwa na mkuu wa chama. Kama hafai wanamtoa kabla ya uchaguzi.
 
Siyo Kw

Hapa sio kweli, waziri mkuu wa sasa wa uingereza hajakiongoza chama chake kwenye uchaguzi wowote
Huyu amechaguliwa katikati ya muhula wa uchaguzi baada ya May kubwaga manyanga. Tatizo liko palepale waliopanga kusimamisha bunge yaani PM na QUEEN wote hawana direct majority vote.

Kampeni zote huongozwa na mkuu wa chama. Kama hafai wanamtoa kabla ya uchaguzi
 
Hujui kinachoongelewa. Ni kwamba PM wa Uingereza anategemea tu uwingi wa wabunge na pia lazima awe mbunge.

Chama kilichoshinda kwa maana kuwa na majority bungeni kinaendelea kutoa PM mpaka muhula wa ubunge uishe ambao kwasasa ni miaka mitano.
PM akifa au kujiuzuru Chama kinateua mbunge mwingine kuwa kiongozi wa chama na pia PM.

Kunapokuwa na uchaguzi mkuu. Kiongozi wa Chama kwenye uchaguzi huo ndio anakuwa PM kama Chama chake kikishinda. Kwahiyo wapiga kura wanapochagua wanajua nani atakuwa PM.

Kiuhalisia kwa siasa za UK wananchi hawamchagui PM moja kwa moja. Hiyo Twitter ni vijembe tu vya kisasa. Wote wako hapo kihalali kabisa.
Hapa sio kweli, waziri mkuu wa sasa wa uingereza hajakiongoza chama chake kwenye uchaguzi wowote
Huyu amechaguliwa katikati ya muhula wa uchaguzi baada ya May kubwaga manyanga. Tatizo liko palepale waliopanga kusimamisha bunge yaani PM na QUEEN wote hawana direct majority vote.
Kampeni zote huongozwa na mkuu wa chama. Kama hafai wanamtoa kabla ya uchaguzi
 
Siku zoooooote mimi sielewi kuhusu ufalme/umalikia; haya ni matambiko tu hakuna kitu hapo. Kwamba kuna watu wao ni watawala tuuuu lakini huku kwetu tunaambiwa mwisho miaka 10. Kule kwao mkuu wa nchi anakaa hadi afie kwenye kiti! Huyo bibi anakaribia kufikisha karne, ametawala hadi ametawala na sehemu ya mrithi wake manake Charles naye kazeeeka na hana nafasi ya kutawala tena bali utawala utaenda kwa mwanae. Kila siku demokrasia wakati wao uchafu mtupu; wanakera sana.
Tatizo hutaki kusoma.Kasome historia vizuri mkuu.utajua hata vitu vidogo unavyolalamika hapa
 
Back
Top Bottom