Hilo halitawezekana. CHADEMA wana mpango wa kupata wagombea wao mapema kabisa, wapate muda wa kuwapiga msasa wajue wanaenda bungeni kufanya nini. Hawana mpango wa kusubiri makapi kutoka CCM. By the time CCM wanafanya michujo yao CHADEMA watakuwa tayari wanamgombea huko Kyela. Vilevile huyu jamaa ana beef kubwa na Zitto, sioni atajipenyezea wapi ndani ya chama. Hayo yanaweza kuwa ni matamanio ya watu wa Kyela lakini yeye mwenyewe Makyembe hatakuwa na mtazamo huo.
Kwani Zitto ndo CHADEMA??