Siasa za Mbeya 2005-2010

Siasa za Mbeya 2005-2010

BAK una akili sana, usije owa mzungu huku tunakuhitaji Tanzania yenye mabadiliko!

Mkuu Masanilo hata round sitachukua wataishia kunibalali au watanikolimba. Yanaudhi sana yanayoendela nchini mwetu. Rwanda wameuana kwa maelfu 1994 sasa hivi nchi yao inafanya vizuri kuliko sisi wenye "amani" ya milele na Wanyarwanda wanafurahia uongozi wa nchi yao maana wanaona mabadiliko ya kweli. Sisi mhhhhhh! usanii tu kila kukicha!
 
BAK

Tafakali na chukua hatua tunakuhitaji TZ, wote tupo hivyo ila nchi lazima iendelee Rwanda wanatuoverake sasa!
 
Watu wa kyela tunataka huduma bora km maji.afya ,barabara na umeme ambao mh. umeshindwa kuleta,kazi yako kupiga kelele kwenye magazeti-hakika uchaguzi ujao upati kura hata kidogo-endelelea na richmond yako.
tunaitaji mbadala,ona mfano wa mwenzako mark mwandosya yeye amefanya vizuri sana jimboni kwake.
mdau,
Lusungo Ipinda Kyela.
 
mhhhh hivi kyela hakuna maji na umeme?au nimesoma vibaya post yako mkuu
 
Watu wa kyela tunataka huduma bora km maji.afya ,barabara na umeme ambao mh. umeshindwa kuleta,kazi yako kupiga kelele kwenye magazeti-hakika uchaguzi ujao upati kura hata kidogo-endelelea na richmond yako.
tunaitaji mbadala,ona mfano wa mwenzako mark mwandosya yeye amefanya vizuri sana jimboni kwake.
mdau,
Lusungo Ipinda Kyela.

...............kimelea cha ufisadi hichi
 
Watu wa kyela tunataka huduma bora km maji.afya ,barabara na umeme ambao mh. umeshindwa kuleta,kazi yako kupiga kelele kwenye magazeti-hakika uchaguzi ujao upati kura hata kidogo-endelelea na richmond yako.
tunaitaji mbadala,ona mfano wa mwenzako mark mwandosya yeye amefanya vizuri sana jimboni kwake.
mdau,
Lusungo Ipinda Kyela.
inaelekea watu wa kyela mnataka kufanana na wapemba, kuna mbunge mmoja wa zanzibar simkumbuki jina aliwahi kusema wananchi wa jimboni kwake wanataka kila shughuri lazima wamhusishe mbunge, mtoto anaumwa wanataka hela kwa mbunge, kuna msiba, njaa chakula awape mbunge!!!!!! sasa huyo mbunge atakuwa na shuhuri ngapi??? wakyela kuweni na busara kwa mwenzeni anayejitoa kwa ajili yenu
 
Mkuu Masanilo hata round sitachukua wataishia kunibalali au watanikolimba. Yanaudhi sana yanayoendela nchini mwetu. Rwanda wameuana kwa maelfu 1994 sasa hivi nchi yao inafanya vizuri kuliko sisi wenye "amani" ya milele na Wanyarwanda wanafurahia uongozi wa nchi yao maana wanaona mabadiliko ya kweli. Sisi mhhhhhh! usanii tu kila kukicha!

Tusiogope kufa kwa kitu cha kweli tunachoamini, kwani kwa kufanya hivyo tutasaidia kizazi kijacho, akina mkwawa na waliopigana vita ya majimaji hawakuogopa kufa walipigana wakafa kwa ajili yetu sisi na sisi kwa ujinga wetu tunarudisha nchi kule kule tulikotoka karne moja iliyopita.

Tatizo historia ya nchi wengi yetu hatuijui na hatuijui shauri hakuna kitabu kuhusu historia ya Tanzania. Sijui ni bahati mbaya au imefanywa makusudi.

Tukikubali kufa maendeleo yatakuja labda kulika Rwanda
 
Huyu jamaa yenu ameshafulia ile mbaya huku Kyela. Anachofanya sasa ni kupiga kelele nyingi za mwizi mwizi ili aonewe huruma.

Mkakati wake hapo ni fisadi papa Mengi aone huruma na kumwagia mapesa mengi ili ajaribu kufanya yale aliyoshindwa kufanya kwa miaka minne na pia ni maandalizi yake ili akishindwa asingizie mafisadi.

Yeye ndiye anagawa piki piki huku Kyela kama aliye mpa Mwandishi wa habari Richard Kilumbu ambaye ndiye anaandika habari wanazotoa Nipashe ila kwasababu wote tunamjua kanunuliwa Kyela, basi anamtumia Mwanakatwe kuweka jina lake. Pia kuna wengine watatu ambao wamepewa pikipiki akiwemo Mwenyekiti wa CCM wa wilaya, bwana Mwakasumi.

Sasa kama yeye anajua waliopewa pesa si awataje kama sisi wengine tunavyowataja?

Mwenyekiti Mwakasumi ameambiwa aunde tume kuchunguza haya madai ya Mwakyembe lakini anakwepa kwasababu anajua ukweli kwamba ni usanii.

Pia sasa wamebadili mkakati, mwanzoni walikuwa wanamwandama Mwakalinga lakini wamegundua ndivyo wanavyozidi kumjengea maana kila wanalomzushia haliendani na alivyo Mwakalinga. Sasa wamekubaliana nguvu kubwa waipeleke kwa Mwakipesile na kisha baadaye kujaribu kumuunganisha Mwakalinga na Mwakipesile.

Uzuri team yao imekuwa mbovu na kila wanalopanga linavuja haraka haraka.

Nyie watu wa Dar ondokeni na mambo yenu ya huko Dar. Kama mnamtaka Mwakyembe mwambieni aje agombee Ilala au Ubungo na ndio mtamjua Mwakyembe wa kweli kweli. Huyu jamaa ni nduli na kaivuruga Kyela sijawahi kuona.

Labda litokejee jambo kubwa sana, vinginevyo jamaa yenu ameshaondoka. Wala Mwakalinga hatakiwi kufanya kitu, jamaa anajimaliza mwenyewe maana kila akifungua mdomo wake anasababisha maswali mengi kwa wapiga kura wake.

Mwakyembe yupo Kyela anaandaa ujio wa akina Mengi na wenzake. Pia amekuja na mipira na jezi anataka kuanzisha kombe la Mwakyembe. Vijana kwenye mkutano wa jana tumekubaliana acheze mwenyewe, mbona hakuanzisha miaka minne yote?
 
Mwakyembe anaiandaa jamii ili akibwagwa hapo mwakani (kitu ambacho sasa ni very possible) awe na sababu ya kutokea. Huenda pia anaandaa mazingira ya kuhamia CHADEMA akishindwa kwenye mchujo wa CCM (hili jambo linaongelewa sana Kyela kwamba ana mpango huo).

Hilo halitawezekana. CHADEMA wana mpango wa kupata wagombea wao mapema kabisa, wapate muda wa kuwapiga msasa wajue wanaenda bungeni kufanya nini. Hawana mpango wa kusubiri makapi kutoka CCM. By the time CCM wanafanya michujo yao CHADEMA watakuwa tayari wanamgombea huko Kyela. Vilevile huyu jamaa ana beef kubwa na Zitto, sioni atajipenyezea wapi ndani ya chama. Hayo yanaweza kuwa ni matamanio ya watu wa Kyela lakini yeye mwenyewe Makyembe hatakuwa na mtazamo huo.
 
Nyumbu,

Inawezekana hapo juu uko sahihi. Matendo ya Mwakyembe hapa Kyela ndiyo yanafanya watu wengi waamini anataka kuhamia CHADEMA. Anawafadhili sana vijana wa CHADEMA hapa, lakini huenda ni kwasababu anataka wamsaidie kwenye chaguzi za CCM. Pia hilo la Zitto ni ukweli mtupu. Ila Mwakyembe anaelewana na Mbowe, lakini nafikiri kumuuza Mwakyembe CHADEMA itakuwa ngumu sana maana wasomi wengi wa CHADEMA wanamwelewa Mwakyembe na madudu yake alipokuwa UDSM.

Pia sasa kawatumia hao vijana wa CHADEMA ili waandike barua kwa mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa maendeleo wa wilaya kumlalamikia Mwenyekiti wa UVCCM eti kwanini ni mwenyekiti wa UVCCM na huku ni daktari wa hospitali ya serikali? Hayo malalamiko tayari yameshatinga ofisini na baadhi ya vijana wametoa siri kwamba mbunge ndio kawashauri wafanye hivyo.

Mwezi wa nane alitumia wazee wa kijiji kimoja walalamike kwamba ndugu yao aliyepata ajali ya pikipiki alikufa eti kwasababu dr wa hospitali ya Ipinda ambaye ndiye mwenyekiti wa UVCCM hakuwepo kazini, alikuwa ameenda kumpigia kampeni Mwakalinga. Mkurugenzi wa wilaya alivyochunguza akagundua kwanza Mwakalinga alikuwa ameondoka Kyela siku moja kabla ya ajali ya huyo jamaa na pia hospitali ilikuwa na daktari wa zamu maana ajali ilitokea usiku. Kikubwa hospitali ya Ipinda haina vifaa wala usafiri hivyo ilibidi jamaa akimbizwe Kyela na ndio akafariki njiani. Zaidi wakagundua waliolalamika wala sio ndugu wa marehemu. Walipobanwa wakatoa siri kwamba mbunge aliwalipa pesa na kuwapa ushauri ili walalamike.

Mwakyembe ni bingwa wa siasa za majungu na unafiki Kyela. Bahati tumemgundua na hatumwachii. Wacha akina BAK waendelee kumpigia makofi kichaa.
 
inaelekea watu wa kyela mnataka kufanana na wapemba, kuna mbunge mmoja wa zanzibar simkumbuki jina aliwahi kusema wananchi wa jimboni kwake wanataka kila shughuri lazima wamhusishe mbunge, mtoto anaumwa wanataka hela kwa mbunge, kuna msiba, njaa chakula awape mbunge!!!!!! sasa huyo mbunge atakuwa na shuhuri ngapi??? wakyela kuweni na busara kwa mwenzeni anayejitoa kwa ajili yenu

Upo sawa kabisa mkuu wanyakyusa wengi wa kyela ni wavivu wanataka kila kitu wafanyiwe, mfano mtu ana mkewe na watoto wakiugua anataka asaidiwe au anaweza funga safari kufata msaada ambao ile nauli anayotumia ingetosha kutatua tatizo hilo. Na asiposaidiwa ndiyo anaanza kukutangaza kwa wengine kuwa u mbaya , so mwakwembe asilaumiwe sana maana hata kama ana mipango mizuri ya kuwasaidia watu wa huko atafanyeje kama watu wenyewe hawako tayari? Cha msingi watu wa kyela tubadilike wenyewe kwanza na tusiwe watu wa kulalamika sana. Tufanye kazi kwa bidii kama tunavyopenda kuwa nadhifu!
 
Wewe wala sio wa Kyela maana watu wa Kyela hata siku moja sio ombaomba. Wanachotaka ni kuwa na kiongozi anayeweza kuwaunganisha pamoja ili wajiletee maendeleo.

Hapa tumejenga shule za sekondari kama 15 bila ya msaada wa mtu yeyote. Utasemaje sisi ni ombaomba?

Badala yake mbunge anaenda Lusungo na kuwaambia watu wasichangie maendeleo yao kwasababu mafisadi wameiba pesa. Ni wilaya gani hapa TZ ambayo wananchi hawachangii maendeleo?

Mbunge ndiye analia lia kila siku kwenye magazeti badala ya kufanya kazi.
 
Nyumbu,

Inawezekana hapo juu uko sahihi. Matendo ya Mwakyembe hapa Kyela ndiyo yanafanya watu wengi waamini anataka kuhamia CHADEMA. Anawafadhili sana vijana wa CHADEMA hapa, lakini huenda ni kwasababu anataka wamsaidie kwenye chaguzi za CCM. Pia hilo la Zitto ni ukweli mtupu. Ila Mwakyembe anaelewana na Mbowe, lakini nafikiri kumuuza Mwakyembe CHADEMA itakuwa ngumu sana maana wasomi wengi wa CHADEMA wanamwelewa Mwakyembe na madudu yake alipokuwa UDSM.

Pia sasa kawatumia hao vijana wa CHADEMA ili waandike barua kwa mkuu wa wilaya na mkurugenzi wa maendeleo wa wilaya kumlalamikia Mwenyekiti wa UVCCM eti kwanini ni mwenyekiti wa UVCCM na huku ni daktari wa hospitali ya serikali? Hayo malalamiko tayari yameshatinga ofisini na baadhi ya vijana wametoa siri kwamba mbunge ndio kawashauri wafanye hivyo.

Mwezi wa nane alitumia wazee wa kijiji kimoja walalamike kwamba ndugu yao aliyepata ajali ya pikipiki alikufa eti kwasababu dr wa hospitali ya Ipinda ambaye ndiye mwenyekiti wa UVCCM hakuwepo kazini, alikuwa ameenda kumpigia kampeni Mwakalinga. Mkurugenzi wa wilaya alivyochunguza akagundua kwanza Mwakalinga alikuwa ameondoka Kyela siku moja kabla ya ajali ya huyo jamaa na pia hospitali ilikuwa na daktari wa zamu maana ajali ilitokea usiku. Kikubwa hospitali ya Ipinda haina vifaa wala usafiri hivyo ilibidi jamaa akimbizwe Kyela na ndio akafariki njiani. Zaidi wakagundua waliolalamika wala sio ndugu wa marehemu. Walipobanwa wakatoa siri kwamba mbunge aliwalipa pesa na kuwapa ushauri ili walalamike.

Mwakyembe ni bingwa wa siasa za majungu na unafiki Kyela. Bahati tumemgundua na hatumwachii. Wacha akina BAK waendelee kumpigia makofi kichaa.

Usituletee siasa zako laini hapa mkuu, yaani kwa mtindo huu sijui kama kweli hili jamvi limekunufaisha ilivyokusudiwa, Kyela oyeee!
Amani
 
Ninachosema Mr Mwakyembe hana haja ya kutaja majina ya waopeleka pesa kyela.
Asubiri wakati wa mchakato wa uteuzi wa mgombea wa ccm jimbo lake.
MAFISADI HAWANA NAFASI TANZANIA.
 
Mkuu Mwakyembe hana jipya napenda kurejea makala ya MWanakijiji juu ya watu hawa, Hivyo CCM wanapigana Ufisadi na nani?? Hivi hao Mafisadi ni wakina nini?? Mizuka au ni watu wa kawaida?? Hapana shaka kuwa Mwakyembe anataka huruma toka kwa watu na Mwakyembe ataje Majina na watu kama Mwezake.
 
Usituletee siasa zako laini hapa mkuu, yaani kwa mtindo huu sijui kama kweli hili jamvi limekunufaisha ilivyokusudiwa, Kyela oyeee!
Amani

Peleka ujinga wako huko Machame kwa Wachaga na shemeji zenu. Ya kyela wewe huna haja nayo maana furaha yako ni kuona CHADEMA inashinda, unajidanganya bure!
 
Watu wa kyela tunataka huduma bora km maji.afya ,barabara na umeme ambao mh. umeshindwa kuleta,kazi yako kupiga kelele kwenye magazeti-hakika uchaguzi ujao upati kura hata kidogo-endelelea na richmond yako.
tunaitaji mbadala,ona mfano wa mwenzako mark mwandosya yeye amefanya vizuri sana jimboni kwake.
mdau,
Lusungo Ipinda Kyela.

Naona pesa za mafisadi zimeshaanza kufanya kazi!
 
Back
Top Bottom