Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,557
- 34,486
Kwani mazingira yanafanana?Hapana Ila chama ni kilikuwa ccm.!
Kwani mazingira yanafanana?Hapana Ila chama ni kilikuwa ccm.!
Ungekuwa una akili ungeheshimu huko kujificha kwako!!Wewe ni zuzu, kazungushe viuno na kudeki lami
Hujielewi mangi, fanya yakoKeshawasamehe Interahamwe?
Mama nae kapika wali maharage na kisanvuMmmh.,, Mkuu na Magu alivyo bahili ivo,, Inawezekana akawa amemwambia Janeth aandae chakula cha mgeni tu hawa wengine wageni watakula makwao... Ni mwendo wa soda na biscuit tu had wapige miayo..
Mangi alikuwa ni mtawala wa wachaga. Au kila mtu ni mangi siku hizi?Hujielewi mangi, fanya yako
Imebidi nicheke! Baada ya kuzooom ndio nimecheka zaidi! Mbweha in mission!Ukiizoom hiyo picha, utaona kuna mtu anaangalia kama mbweha...!!
Mla mbege fanya yakoMangi alikuwa ni mtawala wa wachaga. Au kila mtu ni mangi siku hizi?
Low minded creatures can't hold enough of these matter.Mmh jamani watanzani tunaongoza kwa unafiki,mwenye busara mlikua mnamuita dhaifu,kaja mgumu nae mnamchukia aisee
Naona wasaliti wamewekwa peke yao
Kwani Zuma kaja na Malema?Puppets at their Best Moment
Sera ni zilezile, ccm ya Kikwete na ccm ya Magufuli ni ile ile tofauti ni utashi wa mwenyekiti.Kwani mazingira yanafanana?
Kama Sera ni zile zile na CCM ni ile ile mbona Magufuli anasema anainyoosha nchi, hii nchi haijapindishwa na hizo sera za CCM? Kwa ivo serikali yetu inaendeshwa kwa utashi wa Mwenyekiti wa chama na siyo Rais?Sera ni zilezile, ccm ya Kikwete na ccm ya Magufuli ni ile ile tofauti ni utashi wa mwenyekiti.
Yangu ndiyo haya!Mla mbege fanya yako
Low minded creatures can't hold enough of these matter.