idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,302
- 38,472
Alivyokuja Obama.Lini alikwenda na kulikuwa na shughuli inayofanana na hii?
Alivyokuja Obama.Lini alikwenda na kulikuwa na shughuli inayofanana na hii?
Rais alikuwa Magufuli?Alivyokuja Obama.
Kikwete alikuwa na busara ya kutaka kusuluhisha mambo. Huyu si anajifanya kichwa kigumu akae na lipumba na mrema si wapo? Waacheni chadema wafanye mambo yao.Ina maana kipindi kile cha juisi na chai ikulu ilikua sio upinzan wa kweli?maana sera na utekelezaji haupo kabisa miongoni mwa wapinzani. Upinzani sio kuzira bali kuwa wenye msimamo dhabiti wa kuikosoa serikali kwa mbinu na njia za kitaalam.
Sasa lipumba si hana mke akitoka hapo kapiga msosi huyoooo buguruni offisin kulala anasave pesa ya kwenda kwa mama ntilie
Kwasababu kakataa kuwa nyumbu wa Chadema na kufanya unavyotaka ?Hahahh,, Lipumba kafeli asee huyu mzee..,, Na usomi wake wote kaishia hapo., Kwa nyie mnaowalaani watoto wenu wanaokataa shule mlaaniwe nyie kwanza..... Jifunzeni kwa lipumba, Kakosa pa kula yaan,, hakuna namna lazma awe puppet tu, its priceless for him 2 be a puppet than to hustle for his own...!!
Kikwete alikuwa na busara ya kutaka kusuluhisha mambo. Huyu si anajifanya kichwa kigumu akae na lipumba na mrema si wapo? Waacheni chadema wafanye mambo yao.
Kaambiwa hakuna mgao wa hela lazima asuseMbowe amesusa safari hii.!
Kwasababu kakataa kuwa nyumbu wa Chadema na kufanya unavyotaka ?
- Mbowe kawaharibu sana akili, yaani mtu yeyote anaetofautiana mawazo na ninyi mnaona kanunuliwa. Shiiit
Alikwenda kukutana na kundi la wafanyabiashara toka Marekani kipindi cha JK, nyumbx wakawa wanachekelea meno kama ngiriLini alikwenda na kulikuwa na shughuli inayofanana na hii?
Mnahubiri demokrasia halafu kuitenda mnaona chungu, yeye kaamua kujiunga CUF ndicho chama anachokipenda na katiba inamruhusu unamlazimishaje chama ambacho hakitaki ?Kwani angeamua kwenda CCM tyu tujue moja nani angemsakama?? Shida ni "why being a puppet?? " Msomi mzima utakubalije kutumika kiboya namna hiyo
Nyakati tofuati sana. Mwalimu kakaa ikulu miaka 23 wageni wake wanazidiwa kwa mbali na walifuatia na kukaa ikulu miaka kumi kumi. Hoja hapa kila nyakati na maisha yake!! Tatizo ujinga uliowajaa wana CCM wengi ni kudhani kuwa IKulu ni mali ya chama chao na mtanzania mwingine kwenda Ikulu ni kwa hisani tu!Alikwenda kukutana na kundi la wafanyabiashara toka Marekani kipindi cha JK, nyumbx wakawa wanachekelea meno kama ngiri
Wewe ni zuzu, kazungushe viuno na kudeki lamiNyakati tofuati sana. Mwalimu kakaa ikulu miaka 23 wageni wake wanazidiwa kwa mbali na walifuatia na kukaa ikulu miaka kumi kumi. Hoja hapa kila nyakati na maisha yake!! Tatizo ujinga uliowajaa wana CCM wengi ni kudhani kuwa IKulu ni mali ya chama chao na mtanzania mwingine kwenda Ikulu ni kwa hisani tu!
Hapana Ila chama ni kilikuwa ccm.!Rais alikuwa Magufuli?
Keshawasamehe Interahamwe?Mnahubiri demokrasia halafu kuitenda mnaona chungu, yeye kaamua kujiunga CUF ndicho chama anachokipenda na katiba inamruhusu unamlazimishaje chama ambacho hakitaki ?