Siasa sio ugomvi: Hafla, ujio wa Rais Zuma

Siasa sio ugomvi: Hafla, ujio wa Rais Zuma

Mbowe amesusa safari hii.!

Nadhani Hakualikwa NA kama ni hivyo, Hilo ni kosa kubwa, anastahili kualikwa kama kiongozi wa chama cha upinzani Kikubwa.

NA kama yeye ndiye aliye kataa mwaliko than he is wrong
 
Hivi Mrema alivyochoka anaweza, hata kunganyua kijiko huyu
 
9.jpg
wote ccm
 
Mrema nilomshuhudia kwa macho yangu akimpigia kampeni magu moshi,huyo mwengine eti skuiz anaitwa mwenyekiti ANAYETAMBULIKA NA MSAJILI.Hakuna cha ajabu hapo,ni sawa na kukuta ngedere kwenye sherehe ya ngedere
Historia itawahukumu huko tuendako. Hawana tofauti na wale walioihujumu TANU kipindi cha kutafuta ukombozi wa kweli wa nchi hii.
 
Ugomvi utoke wapi wakati wote hao ni NDEGE WAFANANAO.....CCM
 
Back
Top Bottom