Siasa sio ugomvi: Hafla, ujio wa Rais Zuma

Mmmh.,, Mkuu na Magu alivyo bahili ivo,, Inawezekana akawa amemwambia Janeth aandae chakula cha mgeni tu hawa wengine wageni watakula makwao... Ni mwendo wa soda na biscuit tu had wapige miayo..
Mama nae kapika wali maharage na kisanvu
 
9.jpg
Naona wasaliti wamewekwa peke yao
 
Sera ni zilezile, ccm ya Kikwete na ccm ya Magufuli ni ile ile tofauti ni utashi wa mwenyekiti.
Kama Sera ni zile zile na CCM ni ile ile mbona Magufuli anasema anainyoosha nchi, hii nchi haijapindishwa na hizo sera za CCM? Kwa ivo serikali yetu inaendeshwa kwa utashi wa Mwenyekiti wa chama na siyo Rais?
 
Back
Top Bottom