Lini alikwenda na kulikuwa na shughuli inayofanana na hii?Mbowe amesusa safari hii.!
Upinzani ni mitizamo na itikadi ikichanganywa na utofauti wa sera na jinsi ya kuzitekeleza. Sasa mtizamo wa Lipumba, Cheyo na Mrema juu ya jinsi nchi hii inavyoendeshwa hivi sasa una tofauti gani na alio nao Mangula?Kuna watu humu wanalazimisha upinzani uwe chama kimoja tu nchini aiseee
Kwani na hao utawaita wapinzani?Upinzani ni mitizamo na itikadi ikichanganywa na utofauti wa sera na jinsi ya kuzitekeleza. Sasa mtizamo wa Lipumba, Cheyo na Mrema juu ya jinsi nchi hii inavyoendeshwa hivi sasa una tofauti gani na alio nao Mangula?
Upinzanu ni zaidi ya mtu/watu ama chama. Upinzani ni tofauti ya fikra tu na kwa mantiki hyo hata na wewe inawezekana ukawa mpinzani ama uliwahi kuwa mpinzani.Kuna watu humu wanalazimisha upinzani uwe chama kimoja tu nchini aiseee
Upinzani ni mitizamo na itikadi ikichanganywa na utofauti wa sera na jinsi ya kuzitekeleza. Sasa mtizamo wa Lipumba, Cheyo na Mrema juu ya jinsi nchi hii inavyoendeshwa hivi sasa una tofauti gani na alio nao Mangula?