Siasa bwana...!

Siasa bwana...!

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,117
1417834352016.jpg
 
Naona Kama kawa wadanganyika wakifungwa kamba.anajifanya yupo karibu nao,yeye mwenzao...wizi mtupu.

Akitoka hapo anawatimulia vumbi na msafara wa malandcruiser uliza bei ya kila moja na bajeti ya kulihudumia kwa mwaka
 
Redio inawekewa betri mpya, akitoka hapo asikuambie mtu, ni sheiiinda.
 
Iringa nakojoa
Tanga nakojoa
Mbeya nakojoa
Tabora nakojoa
Arusha nakojoa

Nakujua
 
Akitoka hapo anawatimulia vumbi na msafara wa malandcruiser uliza bei ya kila moja na bajeti ya kulihudumia kwa mwaka

si bora vumbi la cruiser kuliko vumbi na harufu ya mafuta ya chopa za Mbowe!
 
CCM kwa unafiki ni namba moja. Mbona hiyo kahawa hanywi akiwa hajavaa hayo manguo yao?

Coverage ya kijinga kabisaa hii Bujibuji! Yani hapo wanaona wamepatia kweli kweli
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom