Siamini kama kuna Mtanzania middle class Marekani

Siamini kama kuna Mtanzania middle class Marekani

Mbona very simple...lets say middle class ni mtu anaetengeneza dollar 50000 kwa mwaka. Mbeba box analipwa 13 dollars an hours(box linalipa hadi 20 usd or more) so kwa 13 akifanya 80 hours a week (which is normal kwa wapiga box na wengine wanafanya hadi 100 hours a week) sasa fanya 13×80×52=54k Tayari huyo ni middle class. Ukweli ni kwamba watanzania wengi tuu ni middle classes marekani sio wote wabeba box personally nawajua wengi tuu and they all make waay over middle income. Do you really think hamna mtanzania middle class or Was it just sarcasm?
 
Wala siyo sarcasm....ni mwendelezo wa upuuzi wa kujifarii kwa kuwananga wabeba maboksi.

Mambo ya joto hasira.
 
Una matatizo ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa na ndio maana SIAMINI kama Watu ninyi mnaweza kuwa Middle class Marekani, kwa maana Nchi zilizoendelea unalipwa kulingana na IQ yako yaani uwezo wako wa kutatua Matatizo, na hii inakwenda moja kwa moja na kiwango cha Elimu yako, hivyo kama tu unashindwa kusoma na kuelewa kilichoandikwa hapa JF, unawezaje kupata kazi ambayo unatakiwa kutumia akili kuisadia Kampuni kupata faida na kusonga mbele?

Hizo kazi zako za kubeba Maboksi hata ubebe kwa masaa 24 kwa siku kamwe hauwezi kupanda daraja na kuwa Middle class kwenye nchi zilizoendelea, yaani nchi zinazotumia technolia ili kuendelea!
Hizo kazi ni za lower class!
unamatatizo ya uelewa. kunadada namjua ni prof wa eng.huko utaniambia sio middle claass na zaidi ya 20,000 usd per month?. marekani kuna kama watz 20,000 utasema hakuna middle au upper class?. mshenzi kwelli wewe!.
 
Kwa jinsi wazee wa box mlivyobabaisha kumjibu jamaa napata picha labda anachokisema ni kweli. Mmekuja na zile za kiujumla kuwa Kuna washkaji mabosi, Wako wengine wanapiga kazi kubwa na blabla kibao lakini hakuna hata mmoja aliyetoa evidence kumpinga jamaa. Yeye karusha jiwe gizani naona limewapata, hakuna hata mmoja aliyesema "Mimi Ni middle class" kipato changu Ni zaidi ya 50,000 USD kwa mwaka au Fulani anamkwanja huo

Mimi rais wa wabeba maboksi mambo yangu ni super clean.

Yalikuwa super clean hata kabla sijazaliwa.

Baba PhD, mama MSc.

Mimi mwenyewe BA, M.A., na professional degree ambayo sitaitaja hapa kwa sababu za faragha.

Napiga boksi tokea 1994.

Checking account yangu moja tu ya BoA (that's Bank of America, btw) ina zaidi ya hizo 50K.

Natengeneza pesa nzuri kote kote - majuu na bongo (wangapi wanafanya hivyo?)

Nuff said.
 
Kwa jinsi wazee wa box mlivyobabaisha kumjibu jamaa napata picha labda anachokisema ni kweli. Mmekuja na zile za kiujumla kuwa Kuna washkaji mabosi, Wako wengine wanapiga kazi kubwa na blabla kibao lakini hakuna hata mmoja aliyetoa evidence kumpinga jamaa. Yeye karusha jiwe gizani naona limewapata, hakuna hata mmoja aliyesema "Mimi Ni middle class" kipato changu Ni zaidi ya 50,000 USD kwa mwaka au Fulani anamkwanja huo

Mimi ni IT adm kampuni binafsi napata $60,000+ kwa mwaka,
Una swali lingine?
 
Najua kuna Watz wengi sana wanishi Marekani lkn binafsi siamini kama kuna yoyote yule ambaye ana kipato cha kumfanya awe Middle Class ndani ya Marekani, naamini Watz ambao labda wana hiyo status ni wale wanaofanya Ubalozini ambao wanalipwa na Serikali yetu, ama wale wa UN, lkn wengine wa Uraiani siamini kama kweli wana qualify Middle class Status ya Marekani, sema wakija Bongo wanaonekana wako juu lkn kwa Marekani wengi pmj na kuwa wana kazi lkn bado wana low income status, na Hapa siongelei Watanzania kuanzia Kizazi cha kwanza yaani waliozaliwa na Wazazi watz ndani ya Marekani, hao naamini wako wengi lkn wale Wahamiaji, SIDHANI!

Middle klass kwa mbele hasa US nakataa,labda Barali ambaye naye anaanza kuporomoka kwa sababu ya vimwana.
 
Usijiliwaze katika ujinga na kutojua. Mimi niliishi huko nikiwa masomoni na niliwafahamu wengi sana. Wengi wao kwa mambo ya faragha hawatasema lolote juu ya mishahara yao na vipato vyao. Nakutabiria, hakuna atakayetoka hapa kufanya majigambo ya kipuuzi kuwaridhisha wajinga. Haya mambo ya kutamba hivyo tunayaendekeza hapa Bongo tu. Watu wako bize wanatengeneza maisha yao. Pia wanaokujibu si wabeba maboksi tu. Wengine tuliotembea huko tukajua ndiyo tunakueleza. Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza. Kama kweli unataka kujua, basi utapata ukweli. La, kama unatafuta tu mipasho hutahangaika kujua ukweli wa mambo.
Kwa jinsi wazee wa box mlivyobabaisha kumjibu jamaa napata picha labda anachokisema ni kweli. Mmekuja na zile za kiujumla kuwa Kuna washkaji mabosi, Wako wengine wanapiga kazi kubwa na blabla kibao lakini hakuna hata mmoja aliyetoa evidence kumpinga jamaa. Yeye karusha jiwe gizani naona limewapata, hakuna hata mmoja aliyesema "Mimi Ni middle class" kipato changu Ni zaidi ya 50,000 USD kwa mwaka au Fulani anamkwanja huo
 
Mimi ni IT adm kampuni binafsi napata $60,000+ kwa mwaka,
Una swali lingine?
United_States_Class_Structure_Comparison%2C1984-2014.jpg

Sorry I am not doing this to offend or make mockery on you but list above shows that you own only a car.
 
Mleta mada alitaka kupata "feel good kind of mood" kwa kujilinganisha na walio Ughaibuni.
Mkuu umepokonywa kimwana na "mbeba maboxi"??
Kwa kukufahamisha, jumuia za Watanzania katika maeneo yote huko Marekani wako karibu na wanfahamiana sana.
Hao wa middle class wako tele!
Tembea ndugu uone, sio kuota ndoto za fitna!
 
Hivi yule Kajumulo aliishia wapi? Na yule alikua sio middle class? Ufafanuzi wadau.
 
Kuna watu hiyo hela uliyoweka hapa wanavuta times 4, na hiyo ni baada ya kodi. Evidence kwani hapa tuko mahakamani!? Kama unataka kuamini sawa kama hutaki kuamini pia sawa.
VP hawa matajiri walioamua kuishi huko
 
Takwimu nzuri. Watanzania middle class ughaibuni ni wachache mno. Wengi hufsnya kazi masaa mengi ili kuongeza vipato. Kama kwa kufanya kazi masaa ya kawaida basi wengi wanabaki kuwa wa hali ya chini.
 
Takwimu nzuri. Watanzania middle class ughaibuni ni wachache mno. Wengi hufsnya kazi masaa mengi ili kuongeza vipato. Kama kwa kufanya kazi masaa ya kawaida basi wengi wanabaki kuwa wa hali ya chini.

Good observation, kuwepo wachache maana yake wapo, tofauti na anayesema hakuna hata mmoja, tena anasema ni wafanyakazi wa ubalozi tu ndio middle class. Na kama wanafanya kazi masaa mengi ni jambo jema vile vile.

Nina rafiki yangu mzungu anafanya kazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa 2 usiku, kila siku, anapumzika mara mbili ay tatu kwa wiki. Income yake Gross ni well above laki 4 kwa mwaka, lakini yeye mwenyewe anajiita normal class.
 
Back
Top Bottom