Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,328
Muosha vyombo ma mbele ni sawa na mkuu wa wilaya dunia ya 3
Ka-thread haka bwana,kana ukweli wa kufikirisha.Lakini mtu akiambiwa hali halisi ilivyo kwa wa-tz walio huko watabisha.Kuna waliopiga maisha ki-ukweli,nawafahamu jamaa kama 4 hivi na kati ya hao yupo kijana kabisa anayefanya kazi kwenye kampuni kubwa kabisa marekani(ni moja kati ya makampuni 10 makubwa duniani),ila wengi huku ni hand to mouth,ila tukirudi bongo mbwembwe nyingi na kiingereza cha kuzungumzia puani,kama vile YOU KNOW,WANAMSAPU,YEEE,OKKK!!!na I-pad kubwa masikioni muda wote ikiwa pamoja na kutembea upande upande kama basi la zuberi limekata spring.Una matatizo ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa na ndio maana SIAMINI kama Watu ninyi mnaweza kuwa Middle class Marekani, kwa maana Nchi zilizoendelea unalipwa kulingana na IQ yako yaani uwezo wako wa kutatua Matatizo, na hii inakwenda moja kwa moja na kiwango cha Elimu yako, hivyo kama tu unashindwa kusoma na kuelewa kilichoandikwa hapa JF, unawezaje kupata kazi ambayo unatakiwa kutumia akili kuisadia Kampuni kupata faida na kusonga mbele?
Hizo kazi zako za kubeba Maboksi hata ubebe kwa masaa 24 kwa siku kamwe hauwezi kupanda daraja na kuwa Middle class kwenye nchi zilizoendelea, yaani nchi zinazotumia technolia ili kuendelea!
Hizo kazi ni za lower class!
Muosha vyombo ma mbele ni sawa na mkuu wa wilaya dunia ya 3
Hakuna Mtu Middle class Marekani anayefanya kazi masaa 24 kwa siku, hizo kazi ni za lower class, na hata ufanye nini huwezi kuingia middle class kwa kazi hizo!
Najua kuna Watz wengi sana wanishi Marekani lkn binafsi siamini kama kuna yoyote yule ambaye ana kipato cha kumfanya awe Middle Class ndani ya Marekani, naamini Watz ambao labda wana hiyo status ni wale wanaofanya Ubalozini ambao wanalipwa na Serikali yetu, ama wale wa UN, lkn wengine wa Uraiani siamini kama kweli wana qualify Middle class Status ya Marekani, sema wakija Bongo wanaonekana wako juu lkn kwa Marekani wengi pmj na kuwa wana kazi lkn bado wana low income status, na Hapa siongelei Watanzania kuanzia Kizazi cha kwanza yaani waliozaliwa na Wazazi watz ndani ya Marekani, hao naamini wako wengi lkn wale Wahamiaji, SIDHANI!
Umefanya utafiti wako lini na wapi? au huamini tu bila ya kuwa na kigezo chochote kile cha hiyo imani yako? Kwa taarifa yako tu ni kwamba US na hata EU wapo Watanzania ambao wana status zaidi hiyo ya middle class lakini hawapendi kupita huku na kule kujitangaza kwamba mimi hivi mimi vile.
Ka-thread haka bwana,kana ukweli wa kufikirisha.Lakini mtu akiambiwa hali halisi ilivyo kwa wa-tz walio huko watabisha.Kuna waliopiga maisha ki-ukweli,nawafahamu jamaa kama 4 hivi na kati ya hao yupo kijana kabisa anayefanya kazi kwenye kampuni kubwa kabisa marekani(ni moja kati ya makampuni 10 makubwa duniani),ila wengi huku ni hand to mouth,ila tukirudi bongo mbwembwe nyingi na kiingereza cha kuzungumzia puani,kama vile YOU KNOW,WANAMSAPU,YEEE,OKKK!!!na I-pad kubwa masikioni muda wote ikiwa pamoja na kutembea upande upande kama basi la zuberi limekata spring.
:A S-rap:
Najua kuna Watz wengi sana wanishi Marekani lkn binafsi siamini kama kuna yoyote yule ambaye ana kipato cha kumfanya awe Middle Class ndani ya Marekani, naamini Watz ambao labda wana hiyo status ni wale wanaofanya Ubalozini ambao wanalipwa na Serikali yetu, ama wale wa UN, lkn wengine wa Uraiani siamini kama kweli wana qualify Middle class Status ya Marekani, sema wakija Bongo wanaonekana wako juu lkn kwa Marekani wengi pmj na kuwa wana kazi lkn bado wana low income status, na Hapa siongelei Watanzania kuanzia Kizazi cha kwanza yaani waliozaliwa na Wazazi watz ndani ya Marekani, hao naamini wako wengi lkn wale Wahamiaji, SIDHANI!
Kwa jinsi wazee wa box mlivyobabaisha kumjibu jamaa napata picha labda anachokisema ni kweli. Mmekuja na zile za kiujumla kuwa Kuna washkaji mabosi, Wako wengine wanapiga kazi kubwa na blabla kibao lakini hakuna hata mmoja aliyetoa evidence kumpinga jamaa. Yeye karusha jiwe gizani naona limewapata, hakuna hata mmoja aliyesema "Mimi Ni middle class" kipato changu Ni zaidi ya 50,000 USD kwa mwaka au Fulani anamkwanja huo