FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Good observation, kuwepo wachache maana yake wapo, tofauti na anayesema hakuna hata mmoja, tena anasema ni wafanyakazi wa ubalozi tu ndio middle class. Na kama wanafanya kazi masaa mengi ni jambo jema vile vile.
Nina rafiki yangu mzungu anafanya kazi kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa 2 usiku, kila siku, anapumzika mara mbili ay tatu kwa wiki. Income yake Gross ni well above laki 4 kwa mwaka, lakini yeye mwenyewe anajiita normal class.
Hii sijaisikia Merekani.