Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,160
Watu wakinyimwa visa wanakuwa na joto hasira hehehe taratibuu jaribu tena kwa kuiombea Kenya labda utapata. Bayiiii (in kansiime's voice)
Hii sijaisikia Merekani.
Huenda ipo hebu aje atujuze alikua ana maanisha nini lbd ni class ya kawaida sasa kaiita kiinglishi hahahahahahaha
and you will never hear it, lakini "ipo". It is modesty expression for those who are not arrogant
Hahahahahaha afadhali kuwa daraja la chini marekani sababu nitatumia usafiri anaotumia middle class na nitapita barabara anayopita middle class kwani nafikiri hawajajenga au huduma za jamii haziangalii class ya mtu. Kuliko kuwa upper class ya bongo ambapo nitakua nimejenga bangaloo kati kati ya masikini na nitapita kwenye makorongo kama wa lower class. Sasa kuna raha gani kuwa millionare huku umezungukwa na vibanda vya makuti hebu niambie mkuu. Kibongo bongo unatumia jenereta kati ya watu waliozungukwa na giza kuna raha gani hapo. Nafikiri huko majuu ukijipinda unafanikiwa tu sidhani kama kuna uwiano na hapa kwetu kwani mtu leo unakua nae class moja kufumba na kufumbua mwenzako yuko juu tayari, ukiangalia wote mnauza mchele na wote mna wateja wa aina moja sasa inakuwaje huyu ghafla kawa kibopa.LoL!!! Nilishawahi kusikia terminology moja inayopendwa kutumiwa na wapondaji wa watu wa daraja la chini. Hawa huwaita wa daraja la chini "everyday people" lakini hata kama ipo basi si ya annual income of $400,000 before/after income tax.
Hahahahahaha afadhali kuwa daraja la chini marekani sababu nitatumia usafiri anaotumia middle class na nitapita barabara anayopita middle class kwani nafikiri hawajajenga au huduma za jamii haziangalii class ya mtu. Kuliko kuwa upper class ya bongo ambapo nitakua nimejenga bangaloo kati kati ya masikini na nitapita kwenye makorongo kama wa lower class. Sasa kuna raha gani kuwa millionare huku umezungukwa na vibanda vya makuti hebu niambie mkuu. Kibongo bongo unatumia jenereta kati ya watu waliozungukwa na giza kuna raha gani hapo. Nafikiri huko majuu ukijipinda unafanikiwa tu sidhani kama kuna uwiano na hapa kwetu kwani mtu leo unakua nae class moja kufumba na kufumbua mwenzako yuko juu tayari, ukiangalia wote mnauza mchele na wote mna wateja wa aina moja sasa inakuwaje huyu ghafla kawa kibopa.
Haki ya nani yaani unaingiza mahela yote haya bado wanakuita mid class hapana something is wrong somewhere. Sasa wa upper wanaingiza kiasi gani per day. For sure you are a billionaire if not a trillionnare.
Huko kunafaa kuhamiahii ni pesa ya kawaida sana ndugu kwa US. wala huwezi kua billionaire ni.just middle class tu kuna watu huingiza hadi.USD 100000 PER day
hii ni pesa ya kawaida sana ndugu kwa US. wala huwezi kua billionaire ni.just middle class tu kuna watu huingiza hadi.USD 100000 PER day
wewe nyau hujui hesabu, hujui hata conversion yd usd to tsh.
1usd = 1750 tsh
100,000usd = 175,000,000 tsh
sasa zidisha kwa wiki au mwezi.
hata cristiano ronaldo hana huo mshahara!
Watu wakinyimwa visa wanakuwa na joto hasira hehehe taratibuu jaribu tena kwa kuiombea Kenya labda utapata. Bayiiii (in kansiime's voice)