Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Hahahaha far east kwenda ni kutafta shida
Kwahiyo una maana hata aliyekuwa gavana wetu wa enzi za EPA ambaye tunaambiwa ana uraia wa huko pia hawezi kuwa middle class huko?Najua kuna Watz wengi sana wanishi Marekani lkn binafsi siamini kama kuna yoyote yule ambaye ana kipato cha kumfanya awe Middle Class ndani ya Marekani, naamini Watz ambao labda wana hiyo status ni wale wanaofanya Ubalozini ambao wanalipwa na Serikali yetu, ama wale wa UN, lkn wengine wa Uraiani siamini kama kweli wana qualify Middle class Status ya Marekani, sema wakija Bongo wanaonekana wako juu lkn kwa Marekani wengi pmj na kuwa wana kazi lkn bado wana low income status, na Hapa siongelei Watanzania kuanzia Kizazi cha kwanza yaani waliozaliwa na Wazazi watz ndani ya Marekani, hao naamini wako wengi lkn wale Wahamiaji, SIDHANI!
Ndugu hacha kugeneralize wabongo wa middle class wapo weng tu us,mmoja wapo Hasheem thabit
wewe nyau hujui hesabu, hujui hata conversion yd usd to tsh.
1usd = 1750 tsh
100,000usd = 175,000,000 tsh
sasa zidisha kwa wiki au mwezi.
hata cristiano ronaldo hana huo mshahara!
Najua kuna Watz wengi sana wanishi Marekani lkn binafsi siamini kama kuna yoyote yule ambaye ana kipato cha kumfanya awe Middle Class ndani ya Marekani, naamini Watz ambao labda wana hiyo status ni wale wanaofanya Ubalozini ambao wanalipwa na Serikali yetu, ama wale wa UN, lkn wengine wa Uraiani siamini kama kweli wana qualify Middle class Status ya Marekani, sema wakija Bongo wanaonekana wako juu lkn kwa Marekani wengi pmj na kuwa wana kazi lkn bado wana low income status, na Hapa siongelei Watanzania kuanzia Kizazi cha kwanza yaani waliozaliwa na Wazazi watz ndani ya Marekani, hao naamini wako wengi lkn wale Wahamiaji, SIDHANI!
naomba ufafanuzi hapo mkuu, anaposema middle class anatakiwa awe na income kiasi kwa mwaka as USD?Mbona wapo wengi tu; kwani kipato cha watu wa kati ni kipi huku Marekani usije ukawa unadhania kwa makosa...