Hao followers mbona hawakumpigia kura akashinda ubunge? Kazi yao ni kutukana tu insta? Kwendenu huko mfyuuuWema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Yeye ana nguvu gani kuliko hao viongizi wa kitaifa walioondoka CCM! Anaweza kusimama jukwaani na kutoa na kutetea sera!Me nakubaliana na wewe bt pia issues ya wema kuhama ccm sio yakuipuuza,nandio maana ccm walimtumia kwenye kampeni zao kwakujua anaushawishi mkubwa kwa vijana
Aaah ebu tusaidiane kushangaa, na kama wanampenda mbona hawakumchagua alipokua anagombania ubunge?Kwa hiyo kuwa na wafuasi milioni 8 basi hao wote ndio watahamia chadema....??
Mrembo, mtuhumiwa wa unga, kukaa karibu na Mh, kwenye shughuli kubwa ya aina hiyo, inaashiria ushiriki wake Mh kwenye biashara ya unga.Huwezi kumtenga mtu kwa maneno yenu yasiyo na tija,kwani lumumba hakuna wa bwi unga?? mbona wapo wengi tu,acha kuongea upupu.
Jamani hv unaweza kuniambia katika kuraHahaha mmesahau mlivyowatumia kwenye kampeini?
Yule diwani wa Mbagala Usimfananishe na vitu vya kipuuzi puuziNa Diwani wa mbagala naye akiwemo et
Big up [emoji651].. [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hahahahhahah Avatar yako ina picha mtu ninayemuheshimu sana lakini ww uliyeweka picha naweza nisikuheshimu kutokana na thinking yako ya 2G wakati sana tupo 4G tukielekea 5 Umeshindwa kujua Watanganyika kila kitu kwao ni story na hii inatokana kuishi kwa kutegemea matukio nataka kukwambia Siasa ni sayansi na sanyasi siku zote inategemea Quality si
Quantity sidhani kama Wema ana madhara kwa CCM zaidi ya Lowassa na sijui kama Wema anafaida kwa Chadema zaidi ya Dr Slaa ? Wema anaitaji sana uwepo wa CCM na wanaccm kuliko chama kinavyomuitaji Wema
Mkuu hv unajua unachokisema au unamapenzi mubashara tu na Wema? kwa taarifa yako vijana si wapiga kura ilo unatakiwa kujua pia unatakiwa kujua Mashabiki wa Wema ni watu wa aina gani nataka kukwambia Ushawishi wa wema ni kwa watu aina fulani ambao si watu wakutegemea kuazia kimawazo au kimipango
Mfumo ndio unaendesha CCM najua smart thinker watanielewa ninaposema (mfumo) C si mtu so watu wanaitaji CCM kuliko CCM inavyowaitaji wao trust me hakuna mtu aliyekuwa CCM akaenda vyama vya upinzani akafanikiwa kwani ukiwa CCM uko ndani ya Mfumo ukitoka nje ya CCM utakuwa nje ya mfumo leo wema acces aliyokuwanayo wakt yuko CCM ndio imeondoka she has nothing Wema anaitaji sana Support ya CCM na wana CCM kwa sababu wema si mwanasiasa bali ni mtu maarufu tu so mtu maarufu ana ushawishi tu bt mwanasiasa ana ushawishi na nguvu za kimamlaka so just wait en see
Unauhakika kama hizo kura zilikuwa za JPM?Jamani hv unaweza kuniambia katika kura
8,882,935 za CCM kura zilizopatikana kwa kupitia Wema ni ngapi? Ok twende kwa akili ya mitaa ya ufipa tufanye kura za Wema ni laki 5 au milion 1 Lowassa alipata kura 6,072,848 toa za Wema milion 1 bado JPM angeshinda tu kwani mngekuwa na kura 7,072,848 dhidi ya kura 7,882,935 za CCM
dada usichanganyikiwe tulia tu!..ndio kuachwa huko hakuna namna sasaHao followers mbona hawakumpigia kura akashinda ubunge? Kazi yao ni kutukana tu insta? Kwendenu huko mfyuuu
Chama cha mateja (Chadema)
Nasikia harufu ya Mahrge n pumba tu hapaHahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious
Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu
Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi
Jay z ni mwanamziki wenye ushawishi mkubwa sana na mafanikio makubwa ya kimuziki na kibiashara ndani ya USA lakini pamoja na vyote ameshindwa kumuingiza mama Clinton white house kwa ushawishi wake mkubwa kwa watu pia ameshindwa kumzuia Trump kuingia ikulu kwa kutumia ushawishi wake na mafanikio yakeAcha kujifanya smart...Wema anaendesha group la wajinga ambao ndio wengi TZ....wapiga kura ndio haohao...
Mawazo smart kaa nayo...idadi kubwa ya wananchi wa nchi yeyote ile have average or below intellect...hivyo basi nyie 5percenters mkafie huko...Wema commands following wewe na kaukoo kako kote will never or manage to pull...
Wema is a f.ucken big + to Ukawa...take that to the bank!
Suala sio sera bali wapenzi wake ni wengi.Yeye ana nguvu gani kuliko hao viongizi wa kitaifa walioondoka CCM! Anaweza kusimama jukwaani na kutoa na kutetea sera!
Hahahahhaha bhasi tuseme zilikuwa za Lowassa lakini dunia nzima inatambua rais au amiri jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama nchini Tanzania ni JPM , Lowassa anabaki kuwa rais wa mioyo yenu sasa najiuliza serikali ya mioyo ya watanganyika sijui makao makuu yake yako wapiUnauhakika kama hizo kura zilikuwa za JPM?
Subiria sasa ndo utajua wema ni nani.we hujiulizi super star bongo lazima apitie kwa wema kwanza ndo awe super star.Kahama Lowasa, Mzee Kingunge na wengine wengi chama hakikuvunjika sasa WEMA ni nani kwa CCM, yaani ni kama sisimizi kwa Mwanadamu. Yaani hiyo sauti imefumbua macho ya watu.