Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,246
- 6,623
[emoji1] [emoji1] [emoji31] [emoji31][emoji85] [emoji85] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji31] [emoji31][emoji85] [emoji85] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yamkosaji hayo.Chama cha mateja (Chadema)
CCMChama cha mateja (Chadema)
Na Diwani wa mbagala naye akiwemo etChama cha mateja (Chadema)
Hahahahhahah Avatar yako ina picha ya mtu ninayemuheshimu sana lakini ww uliyeweka picha hiyo naweza nisikuheshimu kutokana na thinking yako ya 2G wakati sana tupo 4G tukielekea 5 Umeshindwa kujua Watanganyika kila kitu kwao ni story na hii inatokana kuishi kwa kutegemea matukio nataka kukwambia Siasa ni sayansi na sanyasi siku zote inategemea Quality siKama wema ana madhara nadhani ata ww usingemwaga povu hapa kila mahali wema kahama ccm uoni huyu mtu ana madhara
Embu fupisha tena.Chama cha mateja (Chadema)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji1] [emoji1] [emoji31] [emoji31]
Unamkumbuka walisema Lowasa angekuja na Mafuriko? Uliyaona? Na yalifanya nini kwa CCM?Wema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Hahahaha kweli we chizi, kifupi cha "chama cha mateja, unapata Chadema? Sio CCM. Hahahaha asante kwa kunitukania chama changu cha LumumbaChama cha mateja (Chadema)
Huna point mkuu, hata mtoto wako angeona unachocoments angekuzalau sanawe akili yako sawa tu na ile ya wema.
Hollywood Inshallah Bailly5tuna ndoto one day yes, watakuwa bongo muvi
Me I think hamuelewi,Unamkumbuka walisema Lowasa angekuja na Mafuriko? Uliyaona? Na yalifanya nini kwa CCM?
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] mkuu kweli hawajamaa nihewaHahahaha kweli we chizi, kifupi cha "chama cha mateja, unapata Chadema? Sio CCM. Hahahaha asante kwa kunitukania chama changu cha Lumumba
Jamaa atakuwa amefyatuka kichwani mvumilieHahahaha kweli we chizi, kifupi cha "chama cha mateja, unapata Chadema? Sio CCM. Hahahaha asante kwa kunitukania chama changu cha Lumumba
Kijana yoyote anayeshabikia ccm hana tofauti na mchawi, af uenda hapo ujala ww unaenda kugongea uhali pale jiraniKahama Lowasa, Mzee Kingunge na wengine wengi chama hakikuvunjika sasa WEMA ni nani kwa CCM, yaani ni kama sisimizi kwa Mwanadamu. Yaani hiyo sauti imefumbua macho ya watu.
Mkuu CCM walishafikiria ilo toka mwaka 1995 CCM inajua wafwasi wake si vijana na inajua kuwa vijana hawama mapenzi na CCM unajua nikwambie kitu Upinzani hasa CHADEMA mna watu wenye Akili sana lakini hamna watu wa Mipango na mnatakiwa kujua Siasa ni Sayansi tena ngumu kuliko Rocket Sayansi lakini ndio sayansi pekee isiyoitaji Akili bali inaitaji Mipango na mikakati tuMe nakubaliana na wewe bt pia issues ya wema kuhama ccm sio yakuipuuza,nandio maana ccm walimtumia kwenye kampeni zao kwakujua anaushawishi mkubwa kwa vijana
Na mlivokua mnazunguka nae kipindi kile nchi nzima mbn hukuwai kuyasema hayo labda nikwambie kitendo cha lowasa kutoka ccm kimesabibisha sana ccm kuyumba ndo maana unaona sasa hv wanatumia nguvu na mabavu mengi katika uongoz wao na kwenye chaguzi nakwambia Leo wakisema ufanyike uchaguz halali ambao hauna figisu figisu cdm inashinda mapema sana refer to zanzibarHahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious
Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu
Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi