Jay z ni mwanamziki wenye ushawishi mkubwa sana na mafanikio makubwa ya kimuziki na kibiashara ndani ya USA lakini pamoja na vyote ameshindwa kumuingiza mama Clinton white house kwa ushawishi wake mkubwa kwa watu pia ameshindwa kumzuia Trump kuingia ikulu kwa kutumia ushawishi wake na mafanikio yake
Nimetumia mfano wa JAY Z kwa sababu ndio umemuweka kwenye Avatar yako so mfano wa kweli unao kwenye Avatar yako
Tatizo vijana wa Ufipa mnafundiswa matusi na kashfa hii ni mbinu ya kihanarakati Siasa wanafundishwa Hoja na Sera ndio maana watu wa Lumumba ni Tofauti sana na Ufipa watu wa ufipa muda wote mnataka kubishana na kupigana tu yani mmekaa kiharakati zaidi kuliko Kisiasa