Me I think bado unaishi enzi za ujimaFollowers ndio uchafu gani? Ma house girl wamewah kwenda kupiga kura lini?
Me I think bado unaishi enzi za ujimaFollowers ndio uchafu gani? Ma house girl wamewah kwenda kupiga kura lini?
Kama wema ana madhara nadhani ata ww usingemwaga povu hapa kila mahali wema kahama ccm uoni huyu mtu ana madharaHahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious
Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu
Ushirika unaendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi
Ww ni mjinga, kabisa, tena wa, levo ya kijijiniWema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Ww ishi enzi za ujamaa na hizo trend zenu, nirmeelewa upinzan kumvbe pako tupu kbsa,Me I think bado unaishi enzi za ujima
Teheehehe, nini kimekusibu ghafla? Ebu fanya kufupisha Jina la hicho chama tuone kama tutaipata CHADEMA.Chama cha mateja (Chadema)
Mkuu Siasa ni Sayansi na Sayansi inaamini katika Quality si QuantityHao washangiliaji na wafuasi wao so wanaongeza idadi ya kura
Basis vizuri
Kama unaongea ni kweli mbona walikuwa wanalipwa mamilioni wawe ccmMkuu hv unajua unachokisema au unamapenzi mubashara tu na Wema? kwa taarifa yako vijana si wapiga kura ilo unatakiwa kujua pia unatakiwa kujua Mashabiki wa Wema ni watu wa aina gani nataka kukwambia Ushawishi wa wema ni kwa watu aina fulani ambao si watu wakutegemea kuazia kimawazo au kimipango
Mfumo ndio unaendesha CCM najua smart thinker watanielewa ninaposema (mfumo) C si mtu so watu wanaitaji CCM kuliko CCM inavyowaitaji wao trust me hakuna mtu aliyekuwa CCM akaenda vyama vya upinzani akafanikiwa kwani ukiwa CCM uko ndani ya Mfumo ukitoka nje ya CCM utakuwa nje ya mfumo leo wema acces aliyokuwanayo wakt yuko CCM ndio imeondoka she has nothing Wema anaitaji sana Support ya CCM na wana CCM kwa sababu wema si mwanasiasa bali ni mtu maarufu tu so mtu maarufu ana ushawishi tu bt mwanasiasa ana ushawishi na nguvu za kimamlaka so just wait en see
Me nakubaliana na wewe bt pia issues ya wema kuhama ccm sio yakuipuuza,nandio maana ccm walimtumia kwenye kampeni zao kwakujua anaushawishi mkubwa kwa vijanaMkuu hv unajua unachokisema au unamapenzi mubashara tu na Wema? kwa taarifa yako vijana si wapiga kura ilo unatakiwa kujua pia unatakiwa kujua Mashabiki wa Wema ni watu wa aina gani nataka kukwambia Ushawishi wa wema ni kwa watu aina fulani ambao si watu wakutegemea kuazia kimawazo au kimipango
Mfumo ndio unaendesha CCM najua smart thinker watanielewa ninaposema (mfumo) C si mtu so watu wanaitaji CCM kuliko CCM inavyowaitaji wao trust me hakuna mtu aliyekuwa CCM akaenda vyama vya upinzani akafanikiwa kwani ukiwa CCM uko ndani ya Mfumo ukitoka nje ya CCM utakuwa nje ya mfumo leo wema acces aliyokuwanayo wakt yuko CCM ndio imeondoka she has nothing Wema anaitaji sana Support ya CCM na wana CCM kwa sababu wema si mwanasiasa bali ni mtu maarufu tu so mtu maarufu ana ushawishi tu bt mwanasiasa ana ushawishi na nguvu za kimamlaka so just wait en see
Kama vijana tegemezi wa chadema ndio nyie basi kuna tatizo kubwa.!Wema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Maneno yako tu yanaonyesha wewe ndio mjingaWw ni mjinga, kabisa, tena wa, levo ya kijijini
Hakika mkuu, sasa hivi chadema hakuna tofauti na Bongo movie.Kweli pengo la Dr na Zito halizibiki
[emoji85] [emoji85] [emoji15] [emoji15] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Exactlytuna ndoto one day yes, watakuwa bongo muvi
Siasa nikuwin popularity,so chadema wamempata popularKama vijana tegemezi wa chadema ndio nyie basi kuna tatizo kubwa.!
Kampeni zenu zote mliwategemea wasanii ndio mjaze watu kwenye mikutano,sasa leo eti mnawazalauKama vijana tegemezi wa chadema ndio nyie basi kuna tatizo kubwa.!
Fupisha hayo maneno "Chama Cha Mateja" alafu niambie unapata nini kama si "CCM"Chama cha mateja (Chadema)
Huo ni mtazamo tu na inawekana mtazamo huo ukawa ni negative.Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious