Si wamemwaga ugali ?Wema kamwaga mboga

Si wamemwaga ugali ?Wema kamwaga mboga

Hahahaha kweli we chizi, kifupi cha "chama cha mateja, unapata Chadema? Sio CCM. Hahahaha asante kwa kunitukania chama changu cha Lumumba
Ni kweli kimbilio la wahalifu na mateja
Wategemee kupata zaid ya hao
 
Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious

Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu

Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi

Sidhani kama Wema ana madhara kwa CCM zaidi ya alivyoondoka Lowassa na Sumaye na pia sidhani kama Wema atakuwa na faida kwa Chadema zaidi ya Dr Slaa na Zitto Kabwe
Kama nchi imejaa pathetic people kama wewe unategemea nini? After all wewe ni nani mpaka uishauri chadema uso kuwa na mapenzi nayo..really boring
 
Wema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Kajifunze kwanza matumizi ya "L" na "R" ndo uje utokwe povu,halafu be specific hao followers million 8 wanatoka wapi??
 
Sio kazi yangu kukuelekeza,nenda kamulize nape kwanini wema alikuwa mtu muhimu wa kampeni kwenye chama chao
 
Wema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
kwa statistics gani ulizo nazo
 
acha kuandika pumba usizokua na source zake unapotosha wana JF followers 8M? ha ha ha ha kweli na wewe ukiwemo?
Tatizo elimu ya inayotolewa na ccm kwenye shule zetu na vyuo vyetu ndio inakufanya ushindwe kufikiri ,,,is not my duties kukupa source go and find.sio kuimba ngonjera zako apa
 
Namimi ngoja nikuzalau,maana hukijui chama cha ccm,viongoz wako wanahaha kumrudisha wema kundini wewe unapiga ngonjera zakumpuuza wema
Akili yako ndogo sana jifunze kwanza kuandika.
 
6e3353dd8608a5a5243c989f61e65a8b.jpg

Hahaha these kids got talents.....
 
Watazania shida saana..Who is wema!!how is she in political influence!!stupid event but people still talking about wema...Dont be called mad.....
 
Wema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Hakuna lolote sasa hivi tutasikia.... mtu mwenyewe maji mara moja
 
Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious

Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu

Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi

Sidhani kama Wema ana madhara kwa CCM zaidi ya alivyoondoka Lowassa na Sumaye na pia sidhani kama Wema atakuwa na faida kwa Chadema zaidi ya Dr Slaa na Zitto Kabwe

Wema hana madhara kwa CCM? Kwa nini mama Samia alitembea naye nchi nzima kwa miezi mitatu wakati wa kampeni?
Wema anaweza kuwa hana faida kwa kuwa mshabiki wa Chadema ila kwa kuondoka ccm ni hasara kwao. Hilo liko wazi kwani ccm sio chama cha fikra bali ni chama cha ushabiki tuu, ndio maana Magu anaharibu lakini bado anashabikiwa badala ya kuonywa.
 
Back
Top Bottom