izzo
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 2,812
- 6,465
Tatizo watu wa Ufipa mnafundishwa matusi si siasa( matusi )ndio nguzo ya wanaharakati wakati sera na hoja ndio nguzo ya wanasiasaHata wewe na ukiazi wako wote ukija utapokelewa tu
Tatizo watu wa Ufipa mnafundishwa matusi si siasa( matusi )ndio nguzo ya wanaharakati wakati sera na hoja ndio nguzo ya wanasiasaHata wewe na ukiazi wako wote ukija utapokelewa tu
Kahama Lowasa, Mzee Kingunge na wengine wengi chama hakikuvunjika sasa WEMA ni nani kwa CCM, yaani ni kama sisimizi kwa Mwanadamu. Yaani hiyo sauti imefumbua macho ya watu.
Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious
Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu
Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi
Dada try to relax kwanza, CCM ni taasisi na siku zote taasisi inaendeshwa kwa kufata mifumo si akili ya mtu ni Ushirika pekee ndio unaendeshwa kwa kufata akili ya mtuNa mlivokua mnazunguka nae kipindi kile nchi nzima mbn hukuwai kuyasema hayo labda nikwambie kitendo cha lowasa kutoka ccm kimesabibisha sana ccm kuyumba ndo maana unaona sasa hv wanatumia nguvu na mabavu mengi katika uongoz wao na kwenye chaguzi nakwambia Leo wakisema ufanyike uchaguz halali ambao hauna figisu figisu cdm inashinda mapema sana refer to zanzibar
followers ndo wapiga kura? damnWema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Hahahahahahaha Ndugu yangu ngoja nikufundishe kitu ambacho wengi amjui ndio maana nasema CHADEMA mna watu wenye akili sana lakini mmekosa watu wa mikakati na mipango ambao ni muhimu kwenye siasa kuliko wenye akili ,nataka kukwambia kuna makundi matatu ya mtaji wa kisiasa VIJANA,WAZEE na WAKINAMAMA unaweza kuona wakinamama ni special division kwani wanawake wapo ndani ya vijana na wazeeAlivyofanya mbowe ina make sense. Wema anakundi kubwa la watu ambao either hawapigi kura( hawajihusishi na siasa kama kina James Delicious kidoti etc au ambao wanaipigia CCM mfano wa wamama wa nyumbani.
Ikitokea wema akaweza kuwashawashi Ukawa ikapata kura 1mil tu kutoka kwa hili kundi itakuwa ni hatua kubwa sana kwa UKAWA kueleka Uchaguzi wa 2025.
Hakika mkuu, sasa hivi chadema hakuna tofauti na Bongo movie.
Acha toto zuri liende kwa makamanda!...Kama vijana tegemezi wa chadema ndio nyie basi kuna tatizo kubwa.!
Kweli kabisa, mfano huyu Wema anaushawishi ndani ya mipango ya kisiasa??? Na hapa ndipo ninapoiona chadema kuna vitu haviko sawa ndani ya chadema. Kama suala la mahakami suala lilikuwa ni la Mbowe huu ushawishi wa Chama unaingiaje????Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious
Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu
Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi
Mbona kama unajitekenya mwenyewe hebu angalia vizur chama gani kinazaliwa ukiandika kwa ifupi hapoChama cha mateja (Chadema)
Akutukanaye hakuchagulii tusi
Kwa hiyo kuwa na wafuasi milioni 8 basi hao wote ndio watahamia chadema....??Wema ana followers zaid ya watu million 8 nyuma yake nahufuata Kila afanyacho wema,nawengi nivijana ambao ndio wapiga Kula ,so I think chadema wamefanya kitu positive,au umesahau ccm uchaguzi uliopta walimtumia wema kwenye kampeni zao?? Be smart Brother
Haah nawacheka maana hamjui kinachoendelea.kamanda mbowe anawaangalia tu.
mbowe anaakili sana.
tukimaliza kumtumia wema tunambwaga.
Kama wema ana madhara nadhani ata ww usingemwaga povu hapa kila mahali wema kahama ccm uoni huyu mtu ana madhara
Chukua wasanii wote watoke ccm ila kwa mfumo wetu wa tz ccm haing'oki.Me nakubaliana na wewe bt pia issues ya wema kuhama ccm sio yakuipuuza,nandio maana ccm walimtumia kwenye kampeni zao kwakujua anaushawishi mkubwa kwa vijana
Na ccm chama gani vile tena?Chama cha mateja (Chadema)
Hahaha mmesahau mlivyowatumia kwenye kampeini?Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious
Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu
Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli pengo la Dr na Zito halizibiki