Si wamemwaga ugali ?Wema kamwaga mboga

Si wamemwaga ugali ?Wema kamwaga mboga

Soon siri zao zitakua mtandaoni,wema mropokaji sana hana siri na ni attention seeker.
Eeh huyo wema ndio nani? Kama anapendwa mbona alishindwa ubunge? Mfyuu kwendenu zenu huko na upuuzi wenu
 
Subiria sasa ndo utajua wema ni nani.we hujiulizi super star bongo lazima apitie kwa wema kwanza ndo awe super star.
Tutajie hao masuper star [emoji93]. Kama watano tuu,.

Maana yeye mwenyewe kapitia kwa magwiji wa Bongo Muvi na chupi kavua...

Ccm ilikuwepo kabla ya hata yeye kuzaliwa, na amezaliwa Ccm ipo madaraka mpaka sasa. Ana kitu gani cha kuifanya Ccm....?
 
Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious

Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu

Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi
Kuna tofauti kati ya chama na genge la wahuni
 
Poleni BAVICHA kwa stahili hyo Ccm itatawala mpaka watakapotak wenyew maan nyinyi itkuwa kzi ynu nkuwasafisha watu waliokuwa waovu ama mnadhani na yy atkuja na wtu km aliokujanao Lowasa polrni sana.
 
Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious

Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu

Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi

Mkuu unashau kuwa huwezi kutenganisha ccm na vyombo vya ulinzi na ndio hapo unaposema kuwa ccm ina nguvu...ccm haina nguvu kama ikiachwa siasa iwe katika uwanja sawa...
 
CDM ya Dr Slaa ntaikumbuka daima ilikua na watu waadilifu sana. Sasa kimegeuka kichaka cha kusafisha watu wenye tuhuma mbalimbali
 
ccm mnaserikali lakini mnalalamika

tatizo nini? jembe magu linapwaya hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa

maweeeeeeeeeee
 
Hahahahahaha Siku zote usajili wa timu unafanyika kwa wachezaji lakini Mbowe anafanya usajili wa washangiliaji tena mshangiliaji ambae ushawishi wake ni kwa watu wasio na msaada hata kimawazo watu kama wakina James delicious

Siku zote nawambia Chadema wamekosa smart thinker inawezekana wakawa na Great thinker lakini si Smart thinker wanatumia mbinu za Kiharakati si kiasiasa na wameshindwa kujua tofauti ya taasisi na ushirika siku zote taasisi inaendeshwa kwa kutegemea mfumo si akili ya mtu

Ushirika unajiendesha kwa kutegemea mawazo ya watu ndio maana vyama ving vya ushirika vilikufa Vyama vya upinzani vimekuwa vinafata mfumo wa kiuendeshaji wa Ushirika yani vinategemea watu ktk harakati zake tofuti na Chama cha kijani bado mtu hana nafsi ktk chama bali ni mfumo ndio tegemeo la chama mfano alipoondoka Lowassa lakini chama kiliendelea na mpaka leo kina nguvu kubwa sana ya ushawishi

Sidhani kama Wema ana madhara kwa CCM zaidi ya alivyoondoka Lowassa na sidhani kama Wema atakuwa na faida kwa Chadema zaidi ya Dr Slaa
Good point,
Bado siasa za Tanzania zimeegemea upande mmoja,
Upinzani hauna long term strategies.
Mf: new income sources hasa vitega uchumi km majengo
Ofisi mf mpaka leo hakuna chama chenye jengo lake lenyewe zaidi ya ccm
Sijaona falsafa zao ambazo kwazo wanakufa nazo
Uongozi kua kwenye reactive instead of proactive
Harakati badala ya politics.

watz elimu ya uraia bado sana, ukiwauliza bunge live na katiba vs barabara kipi bora watakwambia barabara au wizi wa billions of money serikalini hawaoni muhimu kwao hata kufanya demonstration kuonesha kuguswa.
 
Jay z ni mwanamziki wenye ushawishi mkubwa sana na mafanikio makubwa ya kimuziki na kibiashara ndani ya USA lakini pamoja na vyote ameshindwa kumuingiza mama Clinton white house kwa ushawishi wake mkubwa kwa watu pia ameshindwa kumzuia Trump kuingia ikulu kwa kutumia ushawishi wake na mafanikio yake

Nimetumia mfano wa JAY Z kwa sababu ndio umemuweka kwenye Avatar yako so mfano wa kweli unao kwenye Avatar yako

Tatizo vijana wa Ufipa mnafundiswa matusi na kashfa hii ni mbinu ya kihanarakati Siasa wanafundishwa Hoja na Sera ndio maana watu wa Lumumba ni Tofauti sana na Ufipa watu wa ufipa muda wote mnataka kubishana na kupigana tu yani mmekaa kiharakati zaidi kuliko Kisiasa

Haiingii akilini leo wewe mwana Lumumba umegeuka mshauri mkubwa wa Chadema,tangu lini nyie maccm mkatupenda?

Wana hila wakubwa
 
Good point,
Bado siasa za Tanzania zimeegemea upande mmoja,
Upinzani hauna long term strategies.
Mf: new income sources hasa vitega uchumi km majengo
Ofisi mf mpaka leo hakuna chama chenye jengo lake lenyewe zaidi ya ccm
Sijaona falsafa zao ambazo kwazo wanakufa nazo
Uongozi kua kwenye reactive instead of proactive
Harakati badala ya politics.

watz elimu ya uraia bado sana, ukiwauliza bunge live na katiba vs barabara kipi bora watakwambia barabara au wizi wa billions of money serikalini hawaoni muhimu kwao hata kufanya demonstration kuonesha kuguswa.

Eti wewe mwanaccm unatupenda kweli eti unatushauri ukawa...maajabu haya
 
wema yupi rafiki wa mawaziri na wabunge wa ccm au. nimesikia ile audio ya steave nyerere akiwataja wote aliowaona ili wamsaidie wema . kwa hiyo wema kasaidiwa na viongozi wa ccm kupata dhamana . ila madawa yanamuunganisha na chadema its fooooooooolish politics naanza kuhubiri injili siasa basi
 
Back
Top Bottom